Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sijui kwakweli AWEKE PICHA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah, kwahiyo jamaa ni ana kiba100? Lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sijui kwakweli AWEKE PICHA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah, kwahiyo jamaa ni ana kiba100? Lol
Shukrani mkuuNadhan ameamua kubalance kwa kusema hajawahi ridhishwa Ila kimsingi hajawahi ridhishwa na wewe......anagalia maandalizi yako kabla ya mechi pia matumizi ya viungo vyako na vyake vya mwili.ASANTE
Sina kibamia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Sijui kwakweli AWEKE PICHA
Hii ipojeKuna jamaa alikua na story kama yako baada ya kutumia formula yangu ya majimoto tu ushuuda wake ulikua hivi hawa ni watu wawili tofaut niliowatibuView attachment 1717649View attachment 1717650
I have been using this since thenjaribu kumwandaa kwa muda mrefu 1-2hours kabla,tuliza akili,kunywa maji mengi moyo uelee,piga show slow&sweet then go harder atakubali
Ongea nae vizuri,ili akueleze anaridhika akifanyiwa niniHabari wakuu
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi
Nimekutana na binti mmoja ambae tumekutana kimwili Mara 4
Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.
Nimebaki njia Panda sijui Cha kufanya
Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri
Naombeni msaada wenu
'Hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote', sasa shida yako ni nini?Habari wakuu
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi
Nimekutana na binti mmoja ambae tumekutana kimwili Mara 4
Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.
Nimebaki njia Panda sijui Cha kufanya
Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri
Naombeni msaada wenu
Walikuwa wanakudanganya ......🤣🤣🤣Wanawake wote nilokua nao walikua wananisifia sana
Una uhakika?? Kuna wanawake huwa wanadanganya katika Hili...🤣🤣🤣Kinachoniuma Ni kwanini wengine nawaridhisha!
Upo kwenye mashindano?Asee Ni kweli mkuu
nahsi nikimuacha atanidharau eti.
Sikiliza huu ushauri.Sasa kama hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote wewe ni babaake mpaka roho ikuume? Msagaji huyo achana nae.
Usikomoe ulipotokea, maliza shida yako ondokaAsee Ni kweli mkuu
nahsi nikimuacha atanidharau eti.
Kinachoniuma Ni kwanini wengine nawaridhisha!
Nilikua naprove mwenyeweWalikuwa wanakudanganya ......[emoji1787][emoji1787][emoji1787]