Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Hapo sawa. Mtu akijiona wa maana. Mpotezee , mwisho akili zinamrudia .Toka Jana sijamtafuta
Naona anahangaika kutuma sms
Na kupiga simu
Ushauri mzuri SanaMwanaume ukiambiwa hufanyi maajabu sijui kibamia hizi kauli zinawaumiza sana wanaume na upelekea wanaume wengi kutafuta booster mfano vumbi la mkongo, kwenda kwa waganga, dawa za kuongeza nguvu za kiume etc yani ndiyo biashara zilizojaa mitandaoni , mleta mada kama shemeji anasema moto hamkolei inawezekana kashazoea vya level zingine, usijitese na kuwaza sana huyo sio mke tafuta mwanamke mtakaeendana nae kwanini ujitese na kuwaza mambo ambayo yapo ndani ya uwezo wako
Sent using Jamii Forums mobile app
FactHapo sawa. Mtu akijiona wa maana. Mpotezee , mwisho akili zinamrudia .
Wala we si wa kwanza kuambiwa hivyo. Hawa jamaa wanajua silaha yao ni huo uchi wao. Wakati wewe unazo silaha kibao
I stand with you on this...Kuwa satisfied na tendo kunaanzia kwenye foreplay mpaka hitimisho la zile dk 90. Kama hamuandai vyema unadhani hizo in out zake zitamfikisha mdada on peak? Not sure
Mtoa mada anajua katerero?[emoji23][emoji23][emoji23]Hadi katerero pia haridhiki? Ah itakuwa sugu ni balaaa...
Pole mkuu embu ni connect nae mm ni mpe anacho mis kukipata. Then nitakwambia mbinu ninazo tumia kufikisha mdada kileleniHabari wakuu
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi
Nimekutana na binti mmoja ambae tumekutana kimwili Mara 4
Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.
Nimebaki njia Panda sijui Cha kufanya
Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri
Naombeni msaada wenu
Soma vizuri, mwanamke anasema hakuna mwanaume aliyewah kumridhisha.Comments nyingi zinamnanga huyo mwanamke[emoji23][emoji23].
Jamani mna uhakika gani kama mtoa mada hana hatia katika hilo.?
Sasa kama mtu hajui kumkuna mwanamke mwanamke aridhike tu?
Kama mtu anatumia dakk mbili tu wazungu hao mwanamke aridhike tu?
Kama mtu hajui kumwandaa mwanamke mwanamke aridhike tu?
Mtoa mada kaa kwa kutulia kajifunze mapenzi umridhishe mpenzi wako. Paka hata vumbi la kongo.
Sasa kama amekutana na hao hao? Kwani hujui unaweza kukutana na wanaume watatu na wote wakawa hawajui kitu?Soma vizuri, mwanamke anasema hakuna mwanaume aliyewah kumridhisha.
Sijui kakeketwa huyo
Pole, tafuta vuzi la mjasiriamali chemsha changanya na mu alovera kunywa, mtafute halafu msukumie, shukrani zako sihitaji baadae, kazi yangu ni kusaidia ulimwenguKinachoniuma Ni kwanini wengine nawaridhisha!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ah weweeeeeeComments nyingi zinamnanga huyo mwanamke[emoji23][emoji23].
Jamani mna uhakika gani kama mtoa mada hana hatia katika hilo.?
Sasa kama mtu hajui kumkuna mwanamke mwanamke aridhike tu?
Kama mtu anatumia dakk mbili tu wazungu hao mwanamke aridhike tu?
Kama mtu hajui kumwandaa mwanamke mwanamke aridhike tu?
Mtoa mada kaa kwa kutulia kajifunze mapenzi umridhishe mpenzi wako. Paka hata vumbi la kongo.
Achana na huyo malaya, arudi kwao lumumbaHabari wakuu.
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.
Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri
Naombeni msaada wenu
Kama wewe unaridhika, basi inatosha.Habari wakuu.
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi. Nimekutana na binti mmoja ambaye tumekutana kimwili Mara 4. Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.
Nimebaki njia Panda sijui cha kufanya. Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri
Naombeni msaada wenu
nyooooo eti unasifiwa... shwainnn unaibiwa wewe!!Wanawake wote nilokua nao walikua wananisifia sana
[emoji3][emoji3] kwa kina haraka harakaAchana na huyo malaya, arudi kwao lumumba