Inauma sana nahaivumiliki

anakula raha au anataabika?

kwani kilichomfanya aolewe ni nini? kama anakikosa, then
anaweza akasepa......kama anapata......no problem bana enhee,
hela ni nini mbele ya kitu natural?
 
WEWE UME WAKO YUKOJE...!!?? AU WEWE NDIO WALE MNAOZUNGUKIA NYUMBA ZA MASHEMEJI ZENU KUPATA UDAKU NA KUWAFUNDISHA DADAZENU NAMNA YA KUWACHUNA SHEMEJI ZENU,ILI NA NYIE MPATE KUBADILISHA MAPIGO?? MTAFUTE NA WEWE MUMEO UMPELEKE UTAKAVYO..nalog off
 
Khaaaa ! Acha kuingilia ndoa za watu, vipi kuhusu yako ? Yawezekana wewe familia yako nayo inakuvumilia tu. Kama dada yako angeona huyo mwanaume hafai angeamua kumtoroka.
 


hivi wewe unajua hujui ulichokiandika? kama ni mwanaume basi wewe mwanaume kama binti, mwanaume gani usiye na akili huko ndio kusaidiana au kwavile ulishazoea kuchuna wanawake, inaelekea hii mada imekugusa kwavile ndivyoulivyo mschsiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii iifuuuuuuuuuuuuu!
 
WEWE UME WAKO YUKOJE...!!?? AU WEWE NDIO WALE MNAOZUNGUKIA NYUMBA ZA MASHEMEJI ZENU KUPATA UDAKU NA KUWAFUNDISHA DADAZENU NAMNA YA KUWACHUNA SHEMEJI ZENU,ILI NA NYIE MPATE KUBADILISHA MAPIGO?? MTAFUTE NA WEWE MUMEO UMPELEKE UTAKAVYO..nalog off

wee koma nina mume bombaa sio kama wewe gume gume
 
duu naonea huruma cna huyo dada coz yule mwanaume ni gumegume ila huyo dada amuombe cna mungu atamsaidia
 
sioni kosa kwa mwanaume, kwani mwanamke akiolewa pia na
kazi, miradi yake nk vinakuwa chini ya mme wake. vinginevyo wawe
wanagereshana.

mifumo dume hiyo
 
Mwenzio anataka wa kuuzia nae sura! Wamevumiliana 10 yrs,sasa imekuaje tena?
Muambie alee bibie huyo, na ampe cash manake na small house inahitaji matunzo,lol
Huyo siyo mwanaume ndugu yangu... Ujue kuna tofauti kati ya mwanaume na wakiume...mwambie mdogo wako aachane nae! Mwanaume suruali wa nini huyo?
 
mkiambiwa mkae nyumbani na msifanye kazi mna'andamana ! Sasa mkichukua kazi za wanaume, wao wafanye nini, zaidi ya 'kuchochea'
 
Loly wewe lazima ni mhaya au mkurya.......
 

wewe unakula bangi....
 

maisha ni kusadiana lakini kila kitu ukimwachia mke wako lazima atakudharau yaani hapo msamiati wa heshima uusahau kabisa
 
nimemwambia amueleze mumewe anadai anamwambiaga
kila siku mumewe anamwambia hana hela, nimemshauri asafiri anadai akirudi atakuta watoto waekufa na njaa baba yao hawajali kwa mlo wala kwa lolote

\


Kwa maelezo yako, huyo mdogo wako kafika/fikishwa Kigoma mwisho wa reli...kadata sana wala si utani..Kwa bahati mbaya kilichomdatisha wewe huwezi kukijua na wala nakuomba usitake kuchunguza chunguza msije anza ligi ya kumlea baba wa watu!

Watu wana mtoto wa 10 halafu unadai mdogo wako anateseka??? Hayo ni maneno yako tu.., mwenzio haoni wala hasikii!

Nakuomba uwe mwangalifu sana ili usije kununua kesi bure!!
 
miaka 10 ya mateso kweli anayo
 
Sio rahisi kiivo...ngoja nitafute makande kwanza.
Mwenzio anataka wa kuuzia nae sura! Wamevumiliana 10 yrs,sasa imekuaje tena?
Muambie alee bibie huyo, na ampe cash manake na small house inahitaji matunzo,lol
 
maisha ni kusadiana lakini kila kitu ukimwachia mke wako lazima atakudharau yaani hapo msamiati wa heshima uusahau kabisa
nimemshauri aifukuzie mbali hiyo ni balaa bora ikapange nyumcba au njemba hilo lirudi
kwao
 
kweli Chauro,kesi kama hizi zimekuwa nyingi sana nawa daizi.
sijui tatizo ni nini

Daughter wanaume wamekuwa adimu kutokana na kufifia kwa kile kinachoitwa na akina mama kuwa ni mfumo dume. Nadhani kwa sasa ni mfumo jike unaoshika kasi na matokeo yake kuna wanaume wenye akili za kike kike wengi mitaani. Wewe mwanaume gani mwenye uwezo wa kufanya kazi atakubali kulishwa na mwanamke aliyejifungua na wala haoni aibu? Fo.>"/@%$*...sh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…