Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
nimemwambia amueleze mumewe anadai anamwambiaga
kila siku mumewe anamwambia hana hela, nimemshauri asafiri anadai akirudi atakuta watoto waekufa na njaa baba yao hawajali kwa mlo wala kwa lolote
si kampenda mwenyewe?!
Usikute mkewe mwenyewe anataka mamlaka sasa mwanaume kaamua ampe hayo mamlaka ikiwemo kulisha familia.
Ingawa ni jambo baya kwa kweli ila siri yote atakua nayo mdogo wako kuwa yameanzaje.
Halafu unapodai mume anajifanya ana mamlaka kwani kwa mtazamo wako ulitaka mke awe na mamlaka gani zaidi ya hayo aliyopewa? BTW wakirudi 6x6 bado bibie anabaki kuwa mke tu na ndio hapo jamaa anaonyesha uanaume wake na ili bibie ajue kuwa kwa nn jamaa anapenda kula sana kama ulivyosema.
Ila kwa ww ni vigumu kujua.
Jinsi nilivyokusoma naona kama una chuki na shemeji yako vile. Ila mshauri tu mdogo wake vizuri.