Inauma sana nahaivumiliki

nimemwambia amueleze mumewe anadai anamwambiaga
kila siku mumewe anamwambia hana hela, nimemshauri asafiri anadai akirudi atakuta watoto waekufa na njaa baba yao hawajali kwa mlo wala kwa lolote

si kampenda mwenyewe?!
Usikute mkewe mwenyewe anataka mamlaka sasa mwanaume kaamua ampe hayo mamlaka ikiwemo kulisha familia.

Ingawa ni jambo baya kwa kweli ila siri yote atakua nayo mdogo wako kuwa yameanzaje.

Halafu unapodai mume anajifanya ana mamlaka kwani kwa mtazamo wako ulitaka mke awe na mamlaka gani zaidi ya hayo aliyopewa? BTW wakirudi 6x6 bado bibie anabaki kuwa mke tu na ndio hapo jamaa anaonyesha uanaume wake na ili bibie ajue kuwa kwa nn jamaa anapenda kula sana kama ulivyosema.

Ila kwa ww ni vigumu kujua.

Jinsi nilivyokusoma naona kama una chuki na shemeji yako vile. Ila mshauri tu mdogo wake vizuri.
 
Huyo siyo mwanaume ndugu yangu... Ujue kuna tofauti kati ya mwanaume na wakiume...mwambie mdogo wako aachane nae! Mwanaume suruali wa nini huyo?
SL please,chonde chonde,mpeleke mwenzio taratibu pliz,si unajua talaka sio suluhisho la kila kitu? Aweza mwacha huyo kisha akaangukia kwa Bishanga ikawa kero kubwa zaidi,si unajua tena habari ya kuruka jivu ukaangukia moto?
 

Ngoja niwaambie wadad haya mambo ya mume wako kuwa mlevi yanaanzatangu uchumba sio rahisi mtu kujifunza ulevi akiwa ameshaoa,wewe kama tangu mahusiano ya uchumba unaona kabisa jamaa ni mlevi na si ajabu hajawahi hata kukununulia ndala za elfu tano unaamua kwa moyo mmoja kuolewa naye unajipa moyo atabadilika huo ni ujinga na natoa tahadhari kwa wdada wengine sio lazima kukimbilia kuolewa hata kama jamaa haeleweki tulia utapata anayejali ndoa,tatizo huwa mnaona kuolewa ni dili na bahati mbaya sana ndoa za kikristo hazifungwi mara mbili ukiingia umeingia,muwe waaangalifu dalili ya mvua ni mawingu!!!ukiona mchumba wako ni mlevi kupindukia umesema umechoka achana nae subiri atakuja mwingine.
 
Acha kuingilia mapenzi ya watu angalia maisha yako hujui mdogo wako anachopewa na huyo shemeji yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…