Inauma sana wakuu, kijana amenikata ngwala hadharani

Hivi kuna umri ukifika umri unaanza kurudi kinyume nyume unarudi kwa kina kidukulilo eeh!!![emoji848][emoji848][emoji848]
Ukirudia kusoma nilicho kiandika, kwandani utapata nilicho kimaanisha.
Bahati njema sitaki nikulaumu kwasababu uwezo wako wa kufikiri hapo ndipo umefukia mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Too good to be true!!!🤣

BTW hitimisho pekee ndio lina ukweli,
 
Ukirudia kusoma nilicho kiandika, kwandani utapata nilicho kimaanisha.
Bahati njema sitaki nikulaumu kwasababu uwezo wako wa kufikiri hapo ndipo umefukia mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
"ukirudia kusoma"

Hivi ulikuwa serious ulivyoandika hapo au ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Asante kwa mrejesho 🤣🤣🤣🤣😂 nimejikuta nna hasira huku nacheka,ushimen hizi bangi unazipataga wapi?
Nilikuonya lakini
 
Asante kwa mrejesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] nimejikuta nna hasira huku nacheka,ushimen hizi bangi unazipataga wapi?
Nilikuonya lakini
Inasikitisha sana mkuu, lakini bilashaka nanyi wazazi mmepata lakujifunza kutoka kwangu, pamoja na kwamba ulini tahadharisha sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulikuonya tangia juzi kuwa; Achana na huyo kijana wako usimzingue kwa mambo yako ya kutaka kum-disipilini. Hukutusikia sasa hayo ndo mavuno ya ungangari wako.
Kwetu wana kausemi; Asosikia la wazee,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…