Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
- Thread starter
- #41
Nafikiri ukitafakari zaidi ya isidingo, utaelewa nilicho kiandika
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri ukitafakari zaidi ya isidingo, utaelewa nilicho kiandika
Ukirudia kusoma nilicho kiandika, kwandani utapata nilicho kimaanisha.Hivi kuna umri ukifika umri unaanza kurudi kinyume nyume unarudi kwa kina kidukulilo eeh!!![emoji848][emoji848][emoji848]
Too good to be true!!!🤣Kwanza naomba niwaonye wakubwa wenzangu, ili kurahisisha maisha kuna wakati tunapaswa kupuuza baadhi ya mambo ili tujifanyie wepesi.
Naomba nifupishe simulizi.
Leo nilifunga safari kwenda shule flani kutoa discipline kwa kijana huku nikiwa nimeambatana na fungu moja la bakora (vijana wanaita mzigo wa kuni).
Kama kawaida nikifika shuleni na nikapokewa mfuko wangu nilio bebea nguo zangu, na ule mzigo mwingine kama mnakumbuka watoto pia wakauopokea huku wakishangilia na sikuuona tena (kumbe walizipeleka zile fimbo jikoni na kusema kwamba baba yake na fulani katuletea na zawadi ya kuni).
Basi nikapitiliza hadi ifisi ya mkuu pale, nilipo ingia na kijana akawa amefika tayari maana kidogo pale shule wanafunzi wapo so active kuhabarishana taarifa.
Bila kuchelewa nikaanza kutoa mashtaka yangu mbele ya mkuu pale sasa kijana alipo sikia nikamuona kama anasimama na akataka kukimbia, basi nikataka kumkata ngwala na nikakosea nika kanyaga kamba ya kiatu kumbe nilisahau kuifunga vizuri, wakuu nilikula mweleka right on front of my son.
Hapa nilisimama na nikaanza kujipangusa, basi kijana akasogea na kunipa pole, mzee nikaona usintanie badala ya kuitikia nikanyenyua teke na akalikwepa nikapita na stuli ya ugoko dahhhh.
Hapa ikabidi kijana akimbie nje, na mimi nikaona isiwe tabu maana bado sijazeeka sana, wacha nimkimbize, kijana alinikata chenga mbele ya kundi la wanafunzi katika kumkimbiza wakuu... Nilikula mweleka na nikaangukia upande wa kitambi hadi kidogo suruali ya kaunda niliovaa ikatatuka kwa nyuma kidogo.
Wakuu, kwa leo naomba niishie hapa, haya mambo ya kuwafuatilia vijana wenye damu inachemka zaidi sio sawa, kuanzia Leo nimejifunza na ninawashauri wazee wenzangu kwamba hakuna jambo jema kama mzazi kuongea na mwanae katika kila jambo pasipo kujalisha ugumu ama uzito wa situation husika, na wazazi tupunguze matumizi ya nguvu iliyopita kiasi katika kuwa nyoosha vijana wetu.
Mungu awabariki sana, mimi na familia yangu tunawatakia usiku mwema na amani tele.
We don't need to be so serious kwa kila thread chief. Wakati mwingine tunapaswa kupata simulizi zenye mafundisho ndani yake..Too good to be true!!![emoji1787]
BTW hitimisho pekee ndio lina ukweli,
"ukirudia kusoma"Ukirudia kusoma nilicho kiandika, kwandani utapata nilicho kimaanisha.
Bahati njema sitaki nikulaumu kwasababu uwezo wako wa kufikiri hapo ndipo umefukia mwisho
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nikupuuze tafadhali"ukirudia kusoma"
Hivi ulikuwa serious ulivyoandika hapo au ndio uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Inawezekana mkuu, maana hii lugha yao naona inashika kasi kwa mwendo mkubwa zaidiDogo atakuwa kamwambia rafiki yake
Na leo dingi kasanda
Nimesha poa mkuu, naamini hili ni somo tosha kwa wazazi wenzangu.Hahahah
Kweli wazazi tuepuke "matumizi ya nguvu kupita kiasi".
Pole sana Chief
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, siku yakikukuta kweli utaamini haya maneno yanguHahaha hahahaha hahaha jamani ndio nn hv kutuchesha asubuh asubuh
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasikitisha sana mkuu, lakini bilashaka nanyi wazazi mmepata lakujifunza kutoka kwangu, pamoja na kwamba ulini tahadharisha sana mkuuAsante kwa mrejesho [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] nimejikuta nna hasira huku nacheka,ushimen hizi bangi unazipataga wapi?
Nilikuonya lakini