Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

Hakukuwa na ulinzi siunajua mtaji wenyewe ndo tulikua tunaujaza jaza, OK ahsante kwa ushauri nitajaribu kuufanyia kazi.
karipoti Polisi kisha watafute wahuni wa mtaa watakupa ramani mzigo wako ulipokwenda kuuzwa. ongea na watu hasa wa chini zaidi. Usisahau kufanya na Dua
vip ofisi hakukuwa na walinzi wa maduka? polee sana kwa changamoto...usiende kwa waganga utapoteza na KUPOTEA zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ndo maana hua najitahd sana kujenga connection na kila bnadam pale mtaan iliko biashara yngu...!!hlo nljifunxa waliponiibia mara ya kwanza....!!sasa hv ht nkfunga saa 6 ucku nna uhakika wa kurudi salama....!!maana wote nawajua na nmezoeana na mmoja wao....!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza kitu ahsante mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Wakoritho : Mlango 10
13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
ASA 1,

Mungu ana mpango wa kukupeleka mbele na mbali zaidi.
Mtumaini na kumtegemea yeye tu
Shukrani mkuu kwa kunipa moyo natumai nitasimama tena siku moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kaka , kikubwa ni kujipanga upya kama upo kwako nikupe wazo la kutengeneza mtaji , tafuta mayai ya kienyeji kama .....30 ambayo yatakugharimu kama sh 15000/- tu baada ya hapo nitagute nikueleze namna rahic yabkutengeneza incubator ya kutotoresha mayai hayo bila gharama kubwa baada ya hapo utaanza na vifaranga 30 , ukiwapa vyakula pamoja na booster ya kukua haraka ....ukiwauza unapata mtaji wa kukurudisha kwenye ramani

Sent using i phone x
Ahsante kwa msaada wako mkuu, kwa sasa nimepanga sina sehemu ya kutosha, ila ningependa kufahamu huo ujuzi natumai siku moja utanisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom