Ahsante mkuu, yaani inafikia kipindi ubinadamu unakutoka kabisa juu ya hawa watu,unatamani kama wote wafe vileePole sana mkuu tunapitia mingi, halafu uje kukamata mwizi usimchome moto duh
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante, sio kulala hata msosi haupiti kooniPole naona hujalala kwa mawazo.....
karipoti Polisi kisha watafute wahuni wa mtaa watakupa ramani mzigo wako ulipokwenda kuuzwa. ongea na watu hasa wa chini zaidi. Usisahau kufanya na Dua
vip ofisi hakukuwa na walinzi wa maduka? polee sana kwa changamoto...usiende kwa waganga utapoteza na KUPOTEA zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejifunza kitu ahsante mkuuMimi ndo maana hua najitahd sana kujenga connection na kila bnadam pale mtaan iliko biashara yngu...!!hlo nljifunxa waliponiibia mara ya kwanza....!!sasa hv ht nkfunga saa 6 ucku nna uhakika wa kurudi salama....!!maana wote nawajua na nmezoeana na mmoja wao....!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu kwa kunipa moyo natumai nitasimama tena siku moja1 Wakoritho : Mlango 10
13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
ASA 1,
Mungu ana mpango wa kukupeleka mbele na mbali zaidi.
Mtumaini na kumtegemea yeye tu
Tupo wengi tuliorudishwa nyuma kisa wezi!pole mkuu usikate tamaa!
usingeiacha ya m pesa mkuu, sasa hivi ungekuwa na hela kwenye float
Ndio, nikiwa namaanisha wameiba kila kitu chenye thamani mule yaani wameamisha kabisa.Wametaifisha?
Nakubaliana nawewe,hata sasa nimebaki kujilaumu hivyo hivyoUlipokosea ndugu ni kufunga ofisi moja. Ungeipeleka kibishi. Zote ziwepo . Bora kuwa na ndogo mbili kuliko kubwa moja unakuwa hatarini. Mungu azidi kukupa wepesi. Napambana pia . Kijana miaka 23
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa msaada wako mkuu, kwa sasa nimepanga sina sehemu ya kutosha, ila ningependa kufahamu huo ujuzi natumai siku moja utanisaidiaPole sana kaka , kikubwa ni kujipanga upya kama upo kwako nikupe wazo la kutengeneza mtaji , tafuta mayai ya kienyeji kama .....30 ambayo yatakugharimu kama sh 15000/- tu baada ya hapo nitagute nikueleze namna rahic yabkutengeneza incubator ya kutotoresha mayai hayo bila gharama kubwa baada ya hapo utaanza na vifaranga 30 , ukiwapa vyakula pamoja na booster ya kukua haraka ....ukiwauza unapata mtaji wa kukurudisha kwenye ramani
Sent using i phone x
Tena bila hata ya kujiuliza Mara 2Unajua haya mambo ndo huwa yanafanya mtu Ukisikia mwizi kakamatwa ukifika pale unaua tu
Mkuu hata Mimi najilaumu, nimebakia na mitill(line) hapa naiangalia na kupata hasirausingeiacha ya m pesa mkuu, sasa hivi ungekuwa na hela kwenye float
Sent using Jamii Forums mobile app