Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

ASA 1, Daaaa pole sana mkuu.
Hao viumbe wanaroho mbaya hata shetani anaweza kujifunza kwao.
Lkn mimi nilishatangaza kwa majirani nikimkamata polisi waje tu kuchukua mwili wake.
Kuibiwa kunauma asikuambie mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu...kuyumba au kufirisika kenye biashara ni jambo la kawaida.
Iliwahi kupata mkasa kama wako bahati nzuri nilikuwa na back up mambo yakakaa vizuri baada ya miezi kadhaa.
Maisha yetu yana changamoto kubwa sana...unafanya biashara lakini wategemezi ni wengi unashindwa kupiga hatua.
Ukiendelea kidogo kama kuna mfanyakazi anakupiga kidogo..
 
1 Wakoritho : Mlango 10
13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
ASA 1,

Mungu ana mpango wa kukupeleka mbele na mbali zaidi.
Mtumaini na kumtegemea yeye tu
We mtu kaibiwa unakuja na habari za Wakorintho
 
Wezi aliowaachia magufuli nini? Ndiyo wamekuliza kama vp mtafute magufuli atakusaidia maana ndiyo aliachia wezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sifahamu mkuu natumai walioachiwa watakuwa wamejirekebisha kama lilivyo lengo la muachiaji, kuhusu muheshimiwa ziwezi kumpata mkuu, isitoshe kuna wengi wenye matatizo zaidi yangu wanahitaji angalau msaada wa wasaidizi wake tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu...kuyumba au kufirisika kenye biashara ni jambo la kawaida.
Iliwahi kupata mkasa kama wako bahati nzuri nilikuwa na back up mambo yakakaa vizuri baada ya miezi kadhaa.
Maisha yetu yana changamoto kubwa sana...unafanya biashara lakini wategemezi ni wengi unashindwa kupiga hatua.
Ukiendelea kidogo kama kuna mfanyakazi anakupiga kidogo..
Ahsante mkuu, ndo dhumuni langu la kulileta humu nilijua kuna waliopita ninalopitia.Ukiwa na backup kidogo stress zinapungua otherwise changamoto mkuu mipango yote inabuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom