Sawa mkuu nitajirekebisha kwa hili kama nikifanikiwa kuamka tenaHapo ulikua unakosea ulitakiwa utengeneze mazoea nao huenda wangekupa mzigo mali kauli.
We mtu kaibiwa unakuja na habari za Wakorintho1 Wakoritho : Mlango 10
13 Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili.
ASA 1,
Mungu ana mpango wa kukupeleka mbele na mbali zaidi.
Mtumaini na kumtegemea yeye tu
Sifahamu mkuu natumai walioachiwa watakuwa wamejirekebisha kama lilivyo lengo la muachiaji, kuhusu muheshimiwa ziwezi kumpata mkuu, isitoshe kuna wengi wenye matatizo zaidi yangu wanahitaji angalau msaada wa wasaidizi wake tuWezi aliowaachia magufuli nini? Ndiyo wamekuliza kama vp mtafute magufuli atakusaidia maana ndiyo aliachia wezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya hima mkuu umtie nguvuni wanawavunja moyo sana watu haoNmetapeliwa wiki iliyopta ila j4 aliyentapeli namkamata mtego tayar na hachomoni 100% cha kwanza nkimkamata namuoa kisha ndo tunaongeaa kuhusu vitu alivyonitapelii..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu, hauogopi kesi ya kichwa wewe?Daaaa pole sana mkuu.
Hao viumbe wanaroho mbaya hata shetani anaweza kujifunza kwao.
Lkn mimi nilishatangaza kwa majirani nikimkamata polisi waje tu kuchukua mwili wake.
Kuibiwa kunauma asikuambie mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu, nitajitahidi kwa hiliMkuu pole, sana nakushahuri rudi kwenye Biashara uliyo anzia na ikakutoa na hakika utatoka zaidi ya mwanzo.
Ahsante mkuu, ndo dhumuni langu la kulileta humu nilijua kuna waliopita ninalopitia.Ukiwa na backup kidogo stress zinapungua otherwise changamoto mkuu mipango yote inabumaPole sana mkuu...kuyumba au kufirisika kenye biashara ni jambo la kawaida.
Iliwahi kupata mkasa kama wako bahati nzuri nilikuwa na back up mambo yakakaa vizuri baada ya miezi kadhaa.
Maisha yetu yana changamoto kubwa sana...unafanya biashara lakini wategemezi ni wengi unashindwa kupiga hatua.
Ukiendelea kidogo kama kuna mfanyakazi anakupiga kidogo..
We mtu kaibiwa unakuja na habari za Wakorintho
Suala sio waganga wala Wakorintho mkuu, ni either kumtia moyo au kumsupport na si hayo mambo ya kufukirika.Kwahiyo unataka nilete habari za waganga
Kichwa ndio nani?
Kasome ile verse niliyompaSuala sio waganga wala Wakorintho mkuu, ni either kumtia moyo au kumsupport na si hayo mambo ya kufukirika.