Inauma sana, Zitto Kabwe anamiliki Chama chake binafsi na Freeman Mbowe ni mtembea pote

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Screenshot_20250818_184225_Chrome.jpg

Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba

Dunia kweli duara.

Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣

Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣

Namshauri ainunue CHAUMA
 
View attachment 3445515

What goes around comes around! Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
P
 
back stabbing, ni kawaida ya mslm wa tanzagiza, ukiangalia wote mafanikio yao ni kwa kupitia mgongoni mwa Christians halafu kuwa dump wakishapata wanachotafuta, hata mpina yatamkuta pia baada ya uchaguzi, huu utawala haukuwa wa kumfunga Tundu lisu ukiangalia kwamba wana historia, wame hustle pmj, lkn back stabbing kama kawa yao ...
 
View attachment 3445515
Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba

Dunia kweli duara.

Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣

Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣

Namshauri ainunue CHAUMA
Hata Lissu aliletwa Chadema na Mbowe.
 
Yeriko kasema Lissu akiondoka wanarudi kuendesha chama chao.

Back
Top Bottom