figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
What goes around comes around! Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"View attachment 3445515
Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba
Dunia kweli duara.
Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣
Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣
Namshauri ainunue CHAUMA
Inawezekana Luhaga Mpina akawapa kura zinazotosha kupata ruzuku. Wakishaanza kupata ruzuku vita inaanza upya.Chama ni Cha Mzee mwenye kashfa lukuki.
"Nashauri wale msio jua "karma" ni nini, jipeni homework kidogo tuu, kisha ndio mje kuchangia!'.. 🤣🤣🤣🤣What goes around comes around! Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!"
P
Lukuki?Chama ni Cha Mzee mwenye kashfa lukuki.
20 years 😂😂😂😂😂✔️Hatukujua mapema kumnlbe Zitto na Mbowe ni kazi maalum, tumepoteza muda mwingi sana aisee inaumaa
Hata Lissu aliletwa Chadema na Mbowe.View attachment 3445515
Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba
Dunia kweli duara.
Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣
Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣
Namshauri ainunue CHAUMA
Na Mbowe aliletwa na Baba Mkwe wake Mtei na Mtei alipewa rasilimali na Nyerere kuwa aanzishe chama.Hata Lissu aliletwa Chadema na Mbowe.
Fundi Mchundo Lusungo RetiredView attachment 3445515
Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba
Dunia kweli duara.
Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣
Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣
Namshauri ainunue CHAUMA
Kwani Mbowe amejitoa au amefukuzwa Chadema?
Kwahiyo tuhitimishe kwamba Lissu anaendeleza legacy sio? Nimekusoma!!Na Mbowe aliletwa na Baba Mkwe wake Mtei na Mtei alipewa rasilimali na Nyerere kuwa aanzishe chama.
KasusaaKwani Mbowe amejitoa au amefukuzwa Chadema?
Amandla...
Kapokonywa chama.Kwani Mbowe amejitoa au amefukuzwa Chadema?
Amandla...
Amesusa vipi wakati aliaga hadharani na Mwenyikiti mpya akasisitiza kuwa apumzike?Kasusaa