F Fundi Mchundo Platinum Member Joined Nov 9, 2007 Posts 13,075 Reaction score 11,682 Aug 19, 2025 #21 Proved said: Kapokonywa chama. Click to expand... Kwani aliwahi kukimiliki hicho chama? Amandla...
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 25,522 Reaction score 40,795 Aug 19, 2025 #22 MamaSamia2025 said: Mnyampaa wa Singida kumpora chama cha urithi mchaga wa Machame ni jambo linalotakiwa liingizwe kwenye Guiness world records. Ni maajabu makubwa mno. Click to expand... Ilikuwa muujiza wa mwaka mkuu.
MamaSamia2025 said: Mnyampaa wa Singida kumpora chama cha urithi mchaga wa Machame ni jambo linalotakiwa liingizwe kwenye Guiness world records. Ni maajabu makubwa mno. Click to expand... Ilikuwa muujiza wa mwaka mkuu.
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,132 Reaction score 64,416 Aug 19, 2025 Thread starter #23 CHIEF PRIEST said: ACT Wazalendo ni mali ya Rostam Aziz Click to expand... Umewaza mbali sana.. Hivi alifanikiwa kuinunua? Na safari hii wakipata hao wabunge watano watakuwa wameongeza thamani.
CHIEF PRIEST said: ACT Wazalendo ni mali ya Rostam Aziz Click to expand... Umewaza mbali sana.. Hivi alifanikiwa kuinunua? Na safari hii wakipata hao wabunge watano watakuwa wameongeza thamani.
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 28,132 Reaction score 64,416 Aug 19, 2025 Thread starter #24 FUSO said: Hatukujua mapema kumbe Zitto na Mbowe ni kazi maalum, tumepoteza muda mwingi sana aisee inaumaa Click to expand... Chama kilipoingia mikononi mwa wananchi wamenuna?
FUSO said: Hatukujua mapema kumbe Zitto na Mbowe ni kazi maalum, tumepoteza muda mwingi sana aisee inaumaa Click to expand... Chama kilipoingia mikononi mwa wananchi wamenuna?