Inauma sana

We jamaa nouma sana nimecheka sana ..
ila sasa nimeshindwa kujua mahudhui ya hadithi yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni hivyo tu maana ni hali ya kusikitisha imenikuta nikaona tushee habari......
 
Yaani nadhani wiki hii tutakuwa na kikao kwa maana hii ni skendo kwa familia yetu....especially majirani wakishtukia kinachoendelea......tutaanza kuchekwa maana huyu m'mbwa ni sehemu ya familia yetu.[emoji25]
 
Ngoja kwanza nikate hii konyagi yangu nikirudi naamini nitauelewa huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…