Inauma sana

Inauma sana

We jamaa nouma sana nimecheka sana ..
ila sasa nimeshindwa kujua mahudhui ya hadithi yako
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni hivyo tu maana ni hali ya kusikitisha imenikuta nikaona tushee habari......
 
Unajua toka jana mpaka leo kila nikikumbuka story ya huyu mbwa wa ndg yetu alivyokua mkali mwanzoni,na hata kupeleka kutolewa uamuzi wa kumuhasi,matokeo mbwa kuwa si rizki hata kupelekea kupigishwa msuba ili japo awe na tabia za ki gangster lakini wapiiiiiii!!!!!!Mbwa kashaharibiwa sasa tunasubiri kikao cha familia baada ya kugundua mbwa kawa mkata mbuno mashuhuri kitaani watamfanya nini mbwa wao mpendwa......
Yaani nadhani wiki hii tutakuwa na kikao kwa maana hii ni skendo kwa familia yetu....especially majirani wakishtukia kinachoendelea......tutaanza kuchekwa maana huyu m'mbwa ni sehemu ya familia yetu.[emoji25]
 
Ngoja kwanza nikate hii konyagi yangu nikirudi naamini nitauelewa huu uzi
 
Back
Top Bottom