N akama ni mwanamke basi hajaolewa na kama kaolewa hajawahi kubeba mbimba na kama bado yupo ndoani hiyo ndoa aijuae ni mola. Au ameshatendwa hadi kaamua kuwa kama alivyo na above inawezekana yeye ni nyumba ndogo ya mtu.
Samahani kwakuharibu thread ya mtu ila nimejiskia kuongea kuhusu Jestina
kabisa sio bure,jestina vua kiatu cha nyumba ndogoN akama ni mwanamke basi hajaolewa na kama kaolewa hajawahi kubeba mbimba na kama bado yupo ndoani hiyo ndoa aijuae ni mola. Au ameshatendwa hadi kaamua kuwa kama alivyo na above inawezekana yeye ni nyumba ndogo ya mtu.
Samahani kwakuharibu thread ya mtu ila nimejiskia kuongea kuhusu Jestina
relevantirrelevant!!!
kabisa sio bure,jestina vua kiatu cha nyumba ndogo
kwa hiyo hata jikoni na vyombo aoshe??????? no bana wengine si waelewa hata kama ni mabadiliko mke ukishajua hivyo tafuta njia mbadal k.v mfanyakazi wa ndani n.k si kumwinamisha mme aoshe vyomboNDOA; Nyumbani Daima Omba Amani
Wakati wakuapa anakumbuka alisema nini?anakumbuka nyakati zote alizoahidi kua atakua na mkewe?
Wanaume jamani kutandika au kuweka net kuna ishu gani??
Nijuavyo wanaume ni watu wasiopenda malumbano sasa mbona huyu anakua tofauti?ushajua mkeo mjamzito,awe anavunga au ni kweli usjali,wewe fanya pale alipogoma wala asibishane nae hata dk moja,kama huyo mwanamke yuko sawa atajirudi tena kabla hajazaa,ajifunze kuwa mkimya na kufanya anachogoma bila majibizano mana hayo ndio yanampa mkewe power yakuongea kwa kufanya hivyo lazima atanyooka na tendo la ndoa kama kawaida ajaribu wiki tu aone,naamini mwanaume alieoa anaweza.
Kutafuta wa pembeni simshauri coz pesa nayopoteza kwa malaya huyo ni bora akazitumia kuandaa vitu vya mtoto na maandaizi ya mkewe kujifungua kwenye hospital nzuri na kuhakikisha anapata lishe bora ili azae mtoto mwenye afya
Sijui mwenzangu ni mkristo au mwislam ila biblia yangu inasema kwenye Mithali 6:32-33 aziniye na mwanamke ni mpumbavu na ukiendelea mbele utapata maneno mazuri tuuu,pia kumbuka huyo ni mkeo na bado mtazaaa na kuzaa na pia mtakua pamoja hadi kifo kiwatenganishe sasa utabadili wangapi? na Mungu anakuangalia tu au?
"Usifanye kosa kwakua mwenzio amekosa"
relevant
sure 100%
sijavaa kiatu ichovua kwanza chako......
sijavaa kiatu icho
wala sitokaa nivae
wala sina dhiki izo free ua self achana na huyo mume wa mtu,ikimbie zinaaa
mesage sent and deliveredhizo busara kawaambie wanao,mie hazinihusu...bibi nitue eeeh?????
mesage sent and delivered
hizo kazi ndogo ndogo kama zinamshinda mkeo,weka housegirl ila mie ningekushauri utafute nyumba ndogo ila ucheze safe huko nje kuna magonjwa mengi,mkeo akijirudi uibwage nyumba ndogo asipojirudi baki nayo kuna wanawake wanahitaji wasaidizi mkeo ni mmojawapo.........sijui anafanya makusudi au la ila unahitaji mtu wa kusuplement kinachokosekana ndani ya ndoa yako period.
mwambie asijali mara nyingi wanawake wanapokuwa ktk hali hii huwa navisilani vya ajabu mpe hongera kwa kummezesha mkewe mtoto asijute
Mfano hai ni mimi mwenyewe.mtaona hyo dada anaigiza.mimi.mimba ya mwez kamil nikua sitak hata kusogelewa na mume wng,tena ctak hta kuoga,ilikuwa ugomvi haswa ndan ya nyumba...hiyo inataka uelewa tu wa mwanaume coz n hali ambayo haikai sana.mwambie jamaa amvumilie
Mfano hai ni mimi mwenyewe.mtaona hyo dada anaigiza.mimi.mimba ya mwez kamil nikua sitak hata kusogelewa na mume wng,tena ctak hta kuoga,ilikuwa ugomvi haswa ndan ya nyumba...hiyo inataka uelewa tu wa mwanaume coz n hali ambayo haikai sana.mwambie jamaa amvumilie