Inauma sana

Inauma sana

N akama ni mwanamke basi hajaolewa na kama kaolewa hajawahi kubeba mbimba na kama bado yupo ndoani hiyo ndoa aijuae ni mola. Au ameshatendwa hadi kaamua kuwa kama alivyo na above inawezekana yeye ni nyumba ndogo ya mtu.
Samahani kwakuharibu thread ya mtu ila nimejiskia kuongea kuhusu Jestina

irrelevant!!!
 
Ndo hata waseme wajameni...kweli mimba ina karaha zake lakini hiyo ya mwezi mmoko kweli?? Cjui lakini labda wenyewe watusaidie
 
N akama ni mwanamke basi hajaolewa na kama kaolewa hajawahi kubeba mbimba na kama bado yupo ndoani hiyo ndoa aijuae ni mola. Au ameshatendwa hadi kaamua kuwa kama alivyo na above inawezekana yeye ni nyumba ndogo ya mtu.
Samahani kwakuharibu thread ya mtu ila nimejiskia kuongea kuhusu Jestina
kabisa sio bure,jestina vua kiatu cha nyumba ndogo
 
NDOA; Nyumbani Daima Omba Amani
Wakati wakuapa anakumbuka alisema nini?anakumbuka nyakati zote alizoahidi kua atakua na mkewe?
Wanaume jamani kutandika au kuweka net kuna ishu gani??
Nijuavyo wanaume ni watu wasiopenda malumbano sasa mbona huyu anakua tofauti?ushajua mkeo mjamzito,awe anavunga au ni kweli usjali,wewe fanya pale alipogoma wala asibishane nae hata dk moja,kama huyo mwanamke yuko sawa atajirudi tena kabla hajazaa,ajifunze kuwa mkimya na kufanya anachogoma bila majibizano mana hayo ndio yanampa mkewe power yakuongea kwa kufanya hivyo lazima atanyooka na tendo la ndoa kama kawaida ajaribu wiki tu aone,naamini mwanaume alieoa anaweza.
Kutafuta wa pembeni simshauri coz pesa nayopoteza kwa malaya huyo ni bora akazitumia kuandaa vitu vya mtoto na maandaizi ya mkewe kujifungua kwenye hospital nzuri na kuhakikisha anapata lishe bora ili azae mtoto mwenye afya
Sijui mwenzangu ni mkristo au mwislam ila biblia yangu inasema kwenye Mithali 6:32-33 aziniye na mwanamke ni mpumbavu na ukiendelea mbele utapata maneno mazuri tuuu,pia kumbuka huyo ni mkeo na bado mtazaaa na kuzaa na pia mtakua pamoja hadi kifo kiwatenganishe sasa utabadili wangapi? na Mungu anakuangalia tu au?


"Usifanye kosa kwakua mwenzio amekosa"
kwa hiyo hata jikoni na vyombo aoshe??????? no bana wengine si waelewa hata kama ni mabadiliko mke ukishajua hivyo tafuta njia mbadal k.v mfanyakazi wa ndani n.k si kumwinamisha mme aoshe vyombo
 
sijavaa kiatu icho
wala sitokaa nivae
wala sina dhiki izo free ua self achana na huyo mume wa mtu,ikimbie zinaaa

hizo busara kawaambie wanao,mie hazinihusu...bibi nitue eeeh?????
 
hizo kazi ndogo ndogo kama zinamshinda mkeo,weka housegirl ila mie ningekushauri utafute nyumba ndogo ila ucheze safe huko nje kuna magonjwa mengi,mkeo akijirudi uibwage nyumba ndogo asipojirudi baki nayo kuna wanawake wanahitaji wasaidizi mkeo ni mmojawapo.........sijui anafanya makusudi au la ila unahitaji mtu wa kusuplement kinachokosekana ndani ya ndoa yako period.

hilo ndo lilikuwa wazo lake la awali lkn kaahidi kuvumilia kwanza aone, mimi binafsi nina muhurumia sababu kukaa na mrembo kitanda kimoja miezi kakumi hivi nahisi inakuwa ngumu bora angekuwa mbali. so akitoka kuoga ivi, jamaa anatoka mimate mkewe yupo na kanga moja kwenye dressing table maana hapo kwangu ndo panaponipaga mtihani na pale akishituka usiku nadhani hatalala tena. duh, kweli hii ni kifungo huru!

ila haya yangu yamsingi tulishajadili naye, maana nilitumia technic ya kumwambia ebu nipe muda tutajadili baadae.
 
Mfano hai ni mimi mwenyewe.mtaona hyo dada anaigiza.mimi.mimba ya mwez kamil nikua sitak hata kusogelewa na mume wng,tena ctak hta kuoga,ilikuwa ugomvi haswa ndan ya nyumba...hiyo inataka uelewa tu wa mwanaume coz n hali ambayo haikai sana.mwambie jamaa amvumilie
 
Ni kweli kwamba mimba zina kadhia zake na kama walitangulia kusema wachangiaji wengine, huwa zinakuwa kama zinaleta kakichaa kiasi fulani. Lakini kuna wanawake ambao kwa makusudi kabisa wanaamua kuwa wajeuri kwa waume zao kwa kisingizio cha mimba. Nilishawahi kunasa mazungumzo ya mama mmoja na shoga yake akimwambia "Safari hii nikibeba mimba mme wangu lazima afanye kazi zote hadi kupika"! Anaonyesha kabisa kwamba anapania kumfanyia mme ujeuri kwa kisingizio cha mimba.
 
mwambie asijali mara nyingi wanawake wanapokuwa ktk hali hii huwa navisilani vya ajabu mpe hongera kwa kummezesha mkewe mtoto asijute

mkuu utafikiri ulikuwepo sababu tulipokutana tena kabla sijampa kile nilichopewa na great thinkers, nikamuuliza vp sasa ivi una wazo jipya au nililelile? jamaa akanambia labda km vp waitoe kwanza ili ajipange kwanza ili akipata cash ya kutosha ampe ujauzito halafu amsafirishe aende kwao hadi ajifungue kwanza. lkn baada ya kumtemea madini nlopewa alipata amani, akaondoka anacheka. na muda sio mrefu nikamuuliza vp, mambo yanaendaje hapo? kanijibu hata hasira zake sio kamwanzo, kwan wameweza hata kucheka wakapiga story kidogo kama awali. amekuwa hambishii wala kumlaumu. anadai hata anapolalamika amejihisi kumsaidia kwani, kwan msaada mkubwa kwake ni kujua kahajifanyishi. nilipomwambia hata mimi ilinibidi niombe msaada JF alifurahi sana na kuhitaaji naye ajiunge. ASANTENI SANA WADAU KWA MOYO WENU WA KUGUSWA.

dah kweli unaweza tafuta mchawi kumbe unajiroga mwenyewe.
 
Mfano hai ni mimi mwenyewe.mtaona hyo dada anaigiza.mimi.mimba ya mwez kamil nikua sitak hata kusogelewa na mume wng,tena ctak hta kuoga,ilikuwa ugomvi haswa ndan ya nyumba...hiyo inataka uelewa tu wa mwanaume coz n hali ambayo haikai sana.mwambie jamaa amvumilie

ok, hapo hata mimi naweza kabisa kama ni kwa muda tu. nanpomjulisha haya anazidi pata amani. kweli ongea na watu uvae viatu!!!!!!!!
 
Mfano hai ni mimi mwenyewe.mtaona hyo dada anaigiza.mimi.mimba ya mwez kamil nikua sitak hata kusogelewa na mume wng,tena ctak hta kuoga,ilikuwa ugomvi haswa ndan ya nyumba...hiyo inataka uelewa tu wa mwanaume coz n hali ambayo haikai sana.mwambie jamaa amvumilie


hapo upo sawa kabisa, hata mimi kama hivyo naweza vumilia bila shida. tofauti na hapo kama ndo ningekuwa mimi ulikuwa mtihani eti.
 
Back
Top Bottom