Alikuta ofisi imepewa kazi ya kuunda kadi za Harusi ya mrembo fulani.
Alipojua ni yule kimeo ndio anaenda kuolewa na Rafiki yake mpofu wa akili aliamua jambo kwa makusudi.
Maagizo yalisema aandike: 1 Yohana 4:18
Kuweka muonekano vizuri Designer akaondoa ile moja pale mbele ikabakia Yohana 4:18.
Jamaa alipofungua Bible na kusoma. Moyo ulimuuma sana.
Designer aliua ufisadi njiani.