Inaumiza mnoo

Inaumiza mnoo

Gautten Potten

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,642
Reaction score
3,426
Alikuta ofisi imepewa kazi ya kuunda kadi za Harusi ya mrembo fulani.
Alipojua ni yule kimeo ndio anaenda kuolewa na Rafiki yake mpofu wa akili aliamua jambo kwa makusudi.

Maagizo yalisema aandike:
1 Yohana 4:18
1683279553732.jpg

Kuweka muonekano vizuri Designer akaondoa ile moja pale mbele ikabakia Yohana 4:18.
1683279503862.jpg

Jamaa alipofungua Bible na kusoma. Moyo ulimuuma sana.
Designer aliua ufisadi njiani.

Mungu Ana njia nyingi za kuokoa usie na hatia.
 
Back
Top Bottom