Inaumiza sana kuona mradi wa bwawa la Nyerere unahujumiwa wazi wazi

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Iweje tarehe ya ujazaji wa bwawa iwe siri?

Kweli Crane ya Tani 26 haijafika hadi leo zaidi ya mwezi umepita?

================================

========================

================================

================================

PIA SOMA

TUHUMA ZA UFISADI NA HUJUMA

HISTORIA

================================

================================
Update: 15/02/2022

===============================
Ethiopia wameshaanza uzalishaji tayari, daaah

=======================
Update: 09/08/2022
Siasa tupu..

==========================
 
Iweje tarehe ya ujazaji wa bwawa iwe siri?

Hilo ni dogo, je la mzee wa goli la mkono kulishawishi bunge liusimamishe mradi huo hadi iundwe tume ya tathimini ya uharibifu wa mazingira ilete ripoti zake, ama haujasikia hilo!

Haya huko bungeni ndiyo hayo, lakini upande wa upinzani(ZZK) adai mgao wa umeme uliopo ni wa kawaida maana ulikuwepo tangia awamu ya 5, lakini viongozi walikuwa wanaogopa kusema na kuifanyia service mitambo.

Yaani mzee kama ni mapigo, basi ni kila kona makombora yavurumishwa vibaya na kakikundi maslahi hako kamejipanga kimkakati "vizuri mno".
 
Kulaumu na kulilia hapa haitosaidia sisi kama watz inatubidi tuamke usingizini ni wakati wa kusimama na sio kukaa kushuhudia udhalimu ukandamizaji juu ya watawala wasiojali maslahi ya Taifa tuamke usingizini sote tuseme inatosha sasa tumechoka😠
Yule dhaifu wa Msoga anatutesa sana waTz, hivi tulikomsea nini yule mzee lakini, haka kakikundi kake kanatufanyia kitu kibaya sana bila huruma, why lakini?!!
 
Kulaumu na kulilia hapa haitosaidia sisi kama watz inatubidi tuamke usingizini ni wakati wa kusimama na sio kukaa kushuhudia udhalimu ukandamizaji juu ya watawala wasiojali maslahi ya Taifa tuamke usingizini sote tuseme inatosha sasa tumechoka😠
Tumechoka kwa kweli, huu ni udhalimu wa hali ya juu, tumechoka
 
waziri wa nishati anaupingamradihuu?
Hatuelewi nia yake ni ipi, Kalemani alisema bwawa lingejazwa tangu 15 November, ina maana mpango kazi ulikuwepo tayari na walijua hilo crane lipo, yeye anakuja kusema mradi wa matrillion unakwama miezi kibao kisa crane ya tani 26, hii maana yake nini?!
 
Hilo ni dogo, je la mzee wa goli la mkono kulishawishi bunge liusimamishe mradi huo hadi iundwe tume ya tathimini ya uharibifu wa mazingira ilete ripoti zake, ama haujasikia hilo!

Haya huko bungeni ndiyo hayo, lakini upande wa upinzani(ZZK) adai mgao wa umeme uliopo ni wa kawaida maana ulikuwepo tangia awamu ya 5, lakini viongozi walikuwa wanaogopa kusema na kuifanyia service mitambo.

Yaani mzee kama ni mapigo, basi ni kila kona makombora yavurumishwa vibaya na kakikundi maslahi hako kamejipanga kimkakati "vizuri mno".
Mkuu ukiwasikiliza wahuni na kuwaamini wahuni lazima nawe uwe mhuni, wasiwasi wangu ni mwenye kaya kuwategemea wahuni wapiga dili,tatizo la mwenye kaya hajui afanye nini yeye kawa kama aliyekuwa kocha wa Manchester United aliyewaambia wachezaji wake''express yourself and enjoy'' kama mbinu za uchezaji mpira ili kupata ushindi halafu anatulia kwenye benchi la ufundi,matokeo yake akina Pogba wanaupiga mwingi wee hadi wanashtukia wanapigwa bao, hii ndio tatizo la kupewa ukocha wa timu kubwa bila kutegemea kisa ni legend na katiba ya klabu ndio inasema kocha mkuu akiondoka basi kocha msaidizi apewe mikoba hata kama alikuwa hana uwezo wa kuongoza timu, apewe tu ndio haya ndio matokeo.
 
Mkuu upo vizuri.

Kama ile hotuba ya jana ya Sgr!

....."wanasema".... wanaosema ni kina nani na wanaotaka kuanza kuharibu ni kina nani hao?

Tunaelewa ukikaripia bila kuchukua hatua ina maana jambo hilo unaliunga mkono kimoyomoyo wewe mwenyewe!

Hatusemi wawapoteze hao, isipokuwa wabadhirifu wote waburuzwe mahakamani bila kujali nyadhifa za vyeo walivyokalia, ndiyo tutajua ana maanisha!

Spika analaani mikopo na madeni na kuunga mkono tozo zinazotuumiza raia, wakati huo huo rais mtu anaunga mkono ukopaji na bila kueleza uelekeo wa fedha za tozo tunazokamuliwa zinakokwenda!

Raia wa Tz sasa hivi tupo kwenye dillema kuu.
 
Back
Top Bottom