Inaumiza sana kuona mradi wa bwawa la Nyerere unahujumiwa wazi wazi

Inaumiza sana kuona mradi wa bwawa la Nyerere unahujumiwa wazi wazi

 
Hili crane nahisi halijaja mkuu. Maana Kuna wajuzi wengi wa Mambo humu, ingawa swali lako tangu mwaka jana naona unauliza na halijibiwi na wadau.
Ni vyema tu wakasema ukweli, hilo crane wanakodi toka nchi gani, na kwanini wanakodi crane permanent?
 
Mm nikupe hongera mkuu uzi wako kuwepo, mimi najua ukiazisha uzi juu ya january unafutwaga
 
Trillion 10 ndani ya miezi 9 zilizokopwa, ni kiasi gani zimeenda kwenye miradi ya kimkakati kama hii?
Mama anapandisha watu madaraja kwa pesa za mkopo

Yeye anategemea kuna siku watumishi watamwambia hela zimewatosha sasa amalizie bwawa la umeme
 
 
 
Back
Top Bottom