FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #41
January Makamba sasa imekuwa “too much” na Tanesco yako!
Uliingia kwenye cheo cha Uwaziri wa Nishati tukiwa tumeshasahau kuhusu umeme kukatika hovyo. Sasa umeme umekua unakatika kila siku bila sababu ya msingi. Hadi viongozi wenzio wameanza kuona hiyo kero. Biashara haziendi kisa umeme kukatika kila siku. #BringBackKalemani