Inaumiza sana kuona tumefika stage hii...

Inaumiza sana kuona tumefika stage hii...

dazzee28

Member
Joined
May 26, 2021
Posts
6
Reaction score
5
Inaumiza Sana Kuona Tumefika Stage Ambayo,👇

Tunashindwa kuamini watu,kwa kuhofia kusalitiwa na kuonekana wajinga.

Tunaogopa kupenda kwa kuhofia kuumizwa.

Tunaogopa kueleza hisi zetu,kwa kuhofia kuchukuliwa vibaya, Au
Kuanza kudharauliwa na kuhudumiwa vibaya.

Tunaogopa kueleza ynayotuumiza kwa kuhofia kuonekana tuna gubu.

Tunaogopa kuonyesha wivu kwa kuhofia kuonekana kero au hatujiamini.

As matter of fact,Tumefika stage ambayo hatuna uhuru na hisia zetu,
wapenzi wetu, wala nafsi zetu.

Tumekuwa waoga wa kuonesha upendo kwa wale tuwapendao. Cha ajabu pia,
Tumekuwa wagumu wa kuupokea,kuuamini na kuuthamini upendo tunaoonyeshwa pia.

Lakini pia tunaishi kwenye dunia ambayo mapenzi ya kweli,uaminifu na heshima,
Ni kama stori tu ambazo tunazisikia na kuzitazama kwenye televisheni.

NB.
MUHIMU TUTAMBUE KUWA KATIKA KILA JAMBO AU KILE AMBACHO UNATAKA KUFANYA,
KUNA MAARIFA MAALUMUYA JINSI GANI YA KUFANYA.,ahsante.🤝
 
mimi naamini ukishakuwa na hela wala huogopi hata moja hapo
 
Binadamu hasipo hisia sawa na mdoli au roboti
 
Back
Top Bottom