inaumiza sana kusikia haya

i don't remember you,ndio ninaichukia sana tena kuambiwa na mtu ambaye ukimtazama kwenye sura yake unamuona inamsuta halafu anakutamkia maneno haya.
Nalog off
 
Yote hayo ni yakawaida sana katika maisha ila nikiambiwa your____ is dead halafu ni wakaribu yangu sana ndo huwa inaniuma mno.
 
Yote hayo ni yakawaida sana katika maisha ila nikiambiwa your____ is dead halafu ni wakaribu yangu sana ndo huwa inaniuma mno.
Na kweli...kifo hakina huruma

Ukipata hili jeraha huwezi sahau maisha na umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…