Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Sisi Yanga Mzee Mpili katuroga kabisa. Msimu Huu tumembeba Hersi
Ona Sisi Wao Simba walivyobeba Msimu huu.
Ona Sisi Wao Simba walivyobeba Msimu huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna mtu aliwatuma kuwa pungufu?Goli lenyewe mpaka tuwe pungufu ndio mtufunge.
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua 😂😁😀😀Kupanga ni kuchagua
Imeisha Hiyo Vinginevyo Nenda FIFAGoli lenyewe mpaka tuwe pungufu ndio mtufunge.
Mbona walibeba hili?Mkuu kombe lao ni hili bwanaView attachment 1868409
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Wafundisheni nidhamu wachezaji wenu.Goli lenyewe mpaka tuwe pungufu ndio mtufunge.
Na mbona nyie huwa tunawafunga tukiwa pungufu!?Goli lenyewe mpaka tuwe pungufu ndio mtufunge.
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu 😀😀Goli lenyewe mpaka tuwe pungufu ndio mtufunge.
Agizia Hennesy cognac,bili nalipia mimiKuna watu wanasingizia eti walikua pungufu 😀😀
Simba v yanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38
Mwisho wa game simba 2 -0 yanga
Simba v yanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10
Mwisho wa game simba 1-0 yanga
Mwaka 2017
Simba v yanga
Mkude red card dk ya 28
Mwisho wa game 1-1
Mwaka 2017 tena
Simba v yanga
Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga
Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio
Kwa mpira wa vipepsi mtasubiria kubebwa tu maana hamna kitu. Mnalia lia tu kama mama alokoswa mwana.