Inaumiza sana! Simba wanabeba Makombe Yanga tunambeba Hersi

Goli lenyewe mpaka tuwe pungufu ndio mtufunge.
Kuna watu wanasingizia eti walikua pungufu πŸ˜€πŸ˜€

Simba v yanga 2005
Final tusker cup
Victor Costa red card dk ya 38

Mwisho wa game simba 2 -0 yanga

Simba v yanga 2006
Morogoro
Henry Joseph red card dk ya 10

Mwisho wa game simba 1-0 yanga

Mwaka 2017
Simba v yanga

Mkude red card dk ya 28

Mwisho wa game 1-1

Mwaka 2017 tena
Simba v yanga

Bukungu redcar dk ya 59
Mwisho wa game simba 2-1 yanga


Mpaka hapo tuelewane redcard sio kisingizio

Kwa mpira wa vipepsi mtasubiria kubebwa tu maana hamna kitu. Mnalia lia tu kama mama alokoswa mwana.
 
Agizia Hennesy cognac,bili nalipia mimi
 
Simba imebeba kombe kwa hisani ya mbeleko ya refa mnazi wa simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…