INAUZWA Inauzwa power mixer G4

INAUZWA Inauzwa power mixer G4

vicent01

Senior Member
Joined
Nov 18, 2018
Posts
100
Reaction score
94
Habari
Naiuza hi power mixer ya Yamaha g4 in njia nne yaan maiki nne kwa wakati mmja ina power ya kutosha inachukua speaker kubwa kuanzia watt 300 ..kwa wazee wa kurekod ipo fit hata wazee wa Chanel youtube mnaotaka kuanzisha Chanel Basi hi ndo funga kazi,sherehe ndogo ndogo inapiga mwanzo mwisho.

Condition ni mpya ipo kwenye box lake nakupa na maiki ya Sony Moja as offer
Bei lak mbili kamili(haipungui hata Mia)
Call/WhatsApp 0714689280 temeke dar es salaam

Sorry camera yangu haitoi pic vizur
IMG_20201019_084818.jpeg
IMG_20201019_084716.jpeg
IMG_20201019_084648.jpeg
IMG_20201019_084623.jpeg
IMG_20201019_084539.jpeg
 
Back
Top Bottom