BikiraGar nzur na being nzur sana
daaah jamaa kataja bei ya kawaida sana lakini badoo unamshusha kiasi hichooo.Kwa awamu hii labda ufanye 5ml
Kwelii maisha yamebadilika mwaka juzi niliuza yangu mil 19. Miss you fisadi kikwete.
Duhh,hivi kuna logic ya kuandika fisadi kikwete?Kwelii maisha yamebadilika mwaka juzi niliuza yangu mil 19. Miss you fisadi kikwete.
Mkuu hiyo gari bado upo hayooo!!??Gari tajwa hapo juu inauzwa, sababu za kuuza ni mabadiliko tu ya mfumo wa maisha, haina shida yeyote..
Year of manufacturing: 2002
Imported: 2012
ODO: 110,000+ chache
Transmission: Manual
Colour: Blue
Condition: Bado mbichi, inshort ipo kwenye usichana wake kabisa
Bei: 10Mil, Pungufu unaongea, usiogope!
Contacts: whatsapp 0755981524, au 0782009806.. Nicheck Tuyajenge kwa taarifa zaidi
NB: Haina Dalali wala Shanta.View attachment 407018
View attachment 407019 View attachment 407021