Car4Sale Inauzwa Rav 4 Killtime

Car4Sale Inauzwa Rav 4 Killtime

Mgibeon

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2011
Posts
11,308
Reaction score
21,507
Gari tajwa hapo juu inauzwa, sababu za kuuza ni mabadiliko tu ya mfumo wa maisha, haina shida yeyote..

Year of manufacturing: 2002

Imported: 2012

ODO: 110,000+ chache

Transmission: Manual

Colour: Blue

Condition: Bado mbichi, inshort ipo kwenye usichana wake kabisa

Bei: 10Mil, Pungufu unaongea, usiogope!

Contacts: whatsapp 0755981524, au 0782009806.. Nicheck Tuyajenge kwa taarifa zaidi

NB: Haina Dalali wala Shanta.
IMG-20160924-WA0008.jpg

IMG-20160924-WA0006.jpg
IMG-20160924-WA0005.jpg
 

Attachments

  • IMG-20160924-WA0000.jpg
    IMG-20160924-WA0000.jpg
    49.2 KB · Views: 102
Ukweli ni kwamba watanzania wengi tuliishi maisha sio ya ukwel ya kupiga deal na kupata hela zisizo na uhalali .

Na hata walio fanya biashara halali lkn zilikuwa na mambo mengi ndani yake

Sasa hivi ohh hatar kila kitu unacho taka kufanya lazima unapiga hesabu kali huku ukijiuliza mwenyew na ukijipa jibu mwenyew.

Kweli no inasomeka ...mwaka unatiririka kama vile nn cjui kufumba na kufumbua mwaka mwingin huo cjui itakuwaje? Baado viporo havijaisha unakutana na mwaka mwingine stress juu ta stress kama hutaja DATA kipindi hiki basi tena .
 
Daah jamanii ingekuwa co manual tungefanya biashara fasta bila kuomba punguzo ningekuongeza na laki
 
Nimepapenda hapo uliposema iko kwenye usichana wake,unamaana ni laini sana hiyo gari,ya kike au...!
 
Gari tajwa hapo juu inauzwa, sababu za kuuza ni mabadiliko tu ya mfumo wa maisha, haina shida yeyote..

Year of manufacturing: 2002

Imported: 2012

ODO: 110,000+ chache

Transmission: Manual

Colour: Blue

Condition: Bado mbichi, inshort ipo kwenye usichana wake kabisa

Bei: 10Mil, Pungufu unaongea, usiogope!

Contacts: whatsapp 0755981524, au 0782009806.. Nicheck Tuyajenge kwa taarifa zaidi

NB: Haina Dalali wala Shanta.View attachment 407018
View attachment 407019 View attachment 407021
Mkuu hiyo gari bado upo hayooo!!??
 
Back
Top Bottom