Inauzwa scania 113, hub reduction,truck & trailer, excellent condition

Inauzwa scania 113, hub reduction,truck & trailer, excellent condition

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
DSC08096.JPG

Gari na traler yake iko safarini na ina hali nzuri sana hadi taili, ukipenda vyote vinauzwa kwa mawasilino zaidi 0754-646827
 
Kisha weka namba na picha si mumpigie kwa details. Nyie mmekazana "weka bei", "weka details", hiyo namba hamjaiona? midalali utaijuwa tu.
 
Hub reduction nyuma sio shida kwenye mizani?... punguza tani 2 per axle nyuma?
 
Transporters 113 hub reduction gari isiyochagua barabara wala saizi ya mzigo.
 
Back
Top Bottom