The last don
JF-Expert Member
- Aug 3, 2011
- 1,053
- 1,232
Wakuu na Wadau wanaojua thamani ya hii kitu. Naiuza kwa bei rafiki
Standalone Server Cabinet With top mounted Colling Fan,
Naiuza ikiwa pamoja na Sisco Firewalls and Sisco Switch. Nauza baada ya kuwa nimeupgrade na hizi sina matumizi nayo kwa sasa
Bei ni Tsh.400,000.
NB: Hii Server cabinet ni Kubwa iko wheeled (kwa maana inarahisisha uhamishaji kutoka sehemu moja kwenda nyingine unaweza ibadilishia matumizi na kuifanya kama Music System Cabinet.