Inawahusu wakazi wa Karatu

Inawahusu wakazi wa Karatu

Joined
Nov 11, 2015
Posts
43
Reaction score
1
Huo mji naweza pata maduka ya jumla ya Vifaa vya ume me kama bulb na Switch nk. Pia mabelo yamtumba yanapati Kana.

Mwenye taarifa anijuze.
 
vifaa vya umeme maduka yapo ila hilo la mitumba sidhani coz wengi wanachukulia "DOX" moshi.
 
Back
Top Bottom