MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Ilikuwa kama utani vile mwaka wa kwanza toka aondoke Nyerere tukadhani 2000 lazima Chadema waingie ikulu lakini wapi.
2005 wakaja na helikoptaa lakini mipango ikagoma, 2010 ngoma ikakataa, 2015 gwiji la siasa za urais Lowassa lakini wapi. 2020 tukajaribu gwiji la siasa za Brussels likakutana na chuma. Leo miaka 22 toka aondoke mpendwa wetu JK, wengi tulidhani labda isingefika hata miaka 5 lakini ikulu bado imegoma kuwapokea Chadema.
Wasiwasi wangu tu isije ikafika mwaka 2043 Mbowe akiwa mwenyekiti na Chadema bado wapinzani