toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Leo nilipata muda wa kuchati kidogo na jamaa yangu ambae nilidhani yupo Dar es salaam kumbe kapata kazi nje ya nchi na hapa nyumbani alikuwa mfanyakazi wa umma.
Huyu mkuu anapiga kazi hapa hapa Africa ila ni nchi moja wapo za South Africa, vitu alivyosema ndio vimenifanya nilete hili bandiko na vimenifikirisha kidogo ukifikiria mimi nilikuwa naona ile nchi anayosema ni yakichovu kuliko sisi, sasa si sijui mwenzetu kaona nini.
ENJOY. Read the screen shots.
AMESISITIZA ATARUDI BAADA YA 2025 sababu sas hivi hamuelewi mzee na amepiga sana desh alivyokuwa mtumishi 🤣🤣🤣🤣
Na huyu jamaa alikuwa mfia dini kweli kweli ile ya nabii Titto siku hizi, daaah vyuma kweli vilimkazia jamaa yangu kaacha utumishi kajilipua nchi za watu anasema kuna afadhali kubwa, WAKUU KUNA UKWELI WOWOTE?
Sent from my iPhone using JamiiForums