Inaweza tibika?

Inaweza tibika?

baldin

Senior Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
185
Reaction score
41
Tatizo la kifua kwa muda mrefu linaweza kutibika?wataalam naomba msaada maana kuna mtu anasumbuliwa na kifua
toka alipofanyiwa operation ya jicho hadi sasa n miaka 3 kifua kimekuwa kikimsumbua,ameenda hospitali kadhaa akambiwa ni alegi ya madawa aliyopatiwa kipindi cha oparesheni na dawa wanazompatia hazimsaidii,afanyeje msaada wako tafadhali?
 
Pole sana. Kama umekwenda hosipital imeshindikana jaribu njia mbadala kwa tiba tofauti. kama utapenda kwa ushauri ntafute 0689 417 472
 
Tatizo la kifua kwa muda mrefu linaweza kutibika?wataalam naomba msaada maana kuna mtu anasumbuliwa na kifua
toka alipofanyiwa operation ya jicho hadi sasa n miaka 3 kifua kimekuwa kikimsumbua,ameenda hospitali kadhaa akambiwa ni alegi ya madawa aliyopatiwa kipindi cha oparesheni na dawa wanazompatia hazimsaidii,afanyeje msaada wako tafadhali?
Pole Sana Hakuna Maradhi yasiyoweza kutibika . Mimi dawa ya kutibu hayo maradhi yako ya kifuwa ninayo ukiweza nitafute kwa wakati wako. Kwa sasa nitakupa hii dawa ukiweza kuitumia itakusaidia kwa muda fanya hivi: Zabibu: Glassi moja ya zabibu changanya na kijiko kimoja cha asali tumia kwa muda wa wiki.
 
Back
Top Bottom