FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei!
Sasa iweje pawe na inflation halafu bidhaa zingine zinashuka bei, tena zimejazana kama utitiri, what is the logic?
Au hii kushuka kwa thamani ya shillingi dhidi ya dollar sio inflation?
Sasa iweje pawe na inflation halafu bidhaa zingine zinashuka bei, tena zimejazana kama utitiri, what is the logic?
Au hii kushuka kwa thamani ya shillingi dhidi ya dollar sio inflation?