FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kama zimetoka china basi nilimsikia tz na china wanawekeana utaratibu wa kutumia currency zao,pili kuadimika haimaanishi hazipoKama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei!
Sasa iweje pawe na inflation halafu bidhaa zingine zinashuka bei, tena zimejazana kama utitiri, what is the logic?
Au hii kushuka kwa thamani ya shillingi dhidi ya dollar sio inflation?
Failed state ,under saa100Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei!
Sasa iweje pawe na inflation halafu bidhaa zingine zinashuka bei, tena zimejazana kama utitiri, what is the logic?
Au hii kushuka kwa thamani ya shillingi dhidi ya dollar sio inflation?
Wazungu wamebadiri njia ya kutalii,wanatumia ndege ndogo,Yale matumizi ya mitaani hawafanyi Tena,again wasipotumia mtaani dollar zinaishia Zanzibar wanakoanzia,huku mahotelini na camps hawalali sasa dollar zitasambaaje mtaani na wengi hawatumii kama tulivyozoea, Zanzibar ni jipu kwa sasa.Kama dollar zimeadimika nilitegemea pawe na shortage ya bidhaa Kariakoo, lakini ni kinyume chake, Kariakoo bidhaa zinamwagika kipindi hiki kama mvua, na wanunuzi wanazichangamkia kama nzige, Maana yakenpesa ipo, na cha ajabu kabisa, bidhaa nyingi zinazidi kushuka bei!
Sasa iweje pawe na inflation halafu bidhaa zingine zinashuka bei, tena zimejazana kama utitiri, what is the logic?
Au hii kushuka kwa thamani ya shillingi dhidi ya dollar sio inflation?
Ok,Asante Kwa ufafanuziBidhaa nyingi za Kariakoo zinatoka China, kununua bidhaa China tunatumia chinese yuan.
Hata India kuna utaratibu uliwekwa wa kutumia Rupee vis TZS. Kama kuna bidhaa tunaagiza kutoka America au kama tuna madeni huko USA, hapo ndio kwenye kilio na kusaga meno.Kama zimetoka china basi nilimsikia tz na china wanawekeana utaratibu wa kutumia currency zao,pili kuadimika haimaanishi hazipo
Sa hv pesa ipo , kilichopo ni kwamba serikali imechukua pesa nyingi toka nje either Kwa mikopo au Kwa misaada na hyo hela imeingiza Kwa watu ndo mana sa hv kiukweli kuna hela, Ila ndo hvo miradi ya serikali ipo chaliiiiMimi nilisema juzi hapa kwamba uchumi upo strong kuliko ulivokuwa miaka yote. Namba zinaongea.
Na kwa taarifa yako, kuna watu wafanyabiashara wanatengeneza hela ya hatari kwenye hiki kipindi
litoto limenenepeana kama paka la kwatajir wa ng'ombe.View attachment 2720976
Hii picha ina Majibu
Ili uipate hiyo kadi unatakiwa ufungue akaunti ya bank kwenye Industrial and Commercial Bank of China (ICBC). kufungua akaunti unatakiwa uwe China, ukiwa na passport yako ya kusafiria na namba ya simu ya kichina.Hii kadi naipataje!?
Ndege ya Uholanzi itakuwa imekomba mzigo wote fyuuuInawezekana pia, ulipaji wa madeni kupitia fedha za kigeni ikawa sababu, ingawa sijajua kama utekelezaji umeanza