SoC04 Inawezekana ajira zikawepo, kwa sababu uhitaji upo wa wafanyakazi. Lakini hamna wanao ajiriwa

SoC04 Inawezekana ajira zikawepo, kwa sababu uhitaji upo wa wafanyakazi. Lakini hamna wanao ajiriwa

Tanzania Tuitakayo competition threads

nkize000

Member
Joined
Dec 3, 2020
Posts
5
Reaction score
5
Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali.

Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi uzoefu au kuongeza maarifa kwa walichosomea/ taaluma yao. Kwa sababu mbali mbali moja wapo ikiwemo kutokuwa na uzoefu wa kutosha katika kazi husika.

Sasa Tanzania ikijenga taasisi kama chuo, chenye sekta mbalimbali kama engineering, architecture, law nimetaja baadhi tu zinazohitaji experience.

Na hapo mwanafunzi atakuwa anaenda pale baada ya kumaliza elimu yake au mafunzo yake. (Awanaweza wakalipa ada au wasilipe, kukawepo na ela ya kujiunga tu).

Waalimu ambao wanatarajia kuwepo hapa wawe ni watu toka mataifa mbali mbali wenye uzoefu wa kimataifa.

Na hapa jinsi ya kuwapata hawa watu ni kuwawekea ofa ya utalii. Wanakuja alafu wanatoa maarifa yao.
Mfano, architecture mbunifu wa majengo maarufu akija tanzania akakuta kuna mtanzania ame request raman ya myumba yake atatoa maarifa yake .

Na wengine wanaweza kuwa wanatamani kutoa maarifa yao, lakini hakuna mazingira ya yeye kufanya hivyo.

Mfano mwingine amekuja mwandaaji wa filamu akachangia mawazo yake hiyo sector

Mfano amekuja YouTuber akakutana na vijana wenye ndoto kama hizo.

Na ni mara nyingi hawa watu wanakuja na tunashindwa kuwatambua au hata tukiwatambua hatuwatumii ipasavyo

Hii itawalenga wale ambao hawajaenda kusoma ulaya au nje ya nchi ila itawa expose hata na watu wa nje.

Na wananchi watakuwa wana request kazi zao zifanyiwe hapo kwa sababua anajua kuna wataalam wengi na atakuwa anatoa ela kama kawaida. Itamfanya kijana aliyemaliza chuo apate pesa hata kama hana ramani
Na akitoka hapo lazima awaze kujiajiri na hata kama atataka kuajiriwa atakuwa ana experience ya kupokelewa na kampuni

Mfano mimi nina kesi alafu nawahitaji wanasheria nitaomba request kwenye hii taasisi kwa sababu najua kuna watu wengi wanaizungumzia ( mawazo ya wataalam wengi)

Wasomi wakiwa sehemu moja wanaweza fanya hata research na kupendekeza mapedekezobkwa serikali nini ifanyike kwwnye sector fulani

Na hii itakuza sector ya utalii kwa sababu watu watavutiwa kuja tanzani. Tuchukulie lecture mstaafu wa Cambridge university anapenda utalii lakini hana ratiba ya kuja tanzania. Akikutana na ofa ya exchange ya maarifa itamshawishi aje Tanzania. Na akija nyuna yake kuna social media kuna wanafunzi anaowafundisha atawaambia itakuwa imekuza utalii ujulikane na watu wengi.

Na watu wakisha jua kuwa kazi yako ikifanyiwa kwenye hii taasisi inakuwa ufanisi mkubwa najua watu wengi wataiamini hii tasisi na kijana akienda kujiajili akiwa na sifa ya alumni wa hii taasisi itamfanya aaminike. Maana wapo wengi wamejiajiri lakini hawajaaminika na jamii. Na hawana ela ya matangazo .

Natumia mifano ya sector chache lakini hapa inawezekana kwa sector zote.
Hata uvuvi, nk

Maana hii inakuwa taasisi ya vitendo. Ku apply ulichokisoma kwa msaada wa watu maarufu
Pia kuna watu wenye ujuzi ambao wamesoma nje ya nchi wapo makazini direct, so kazi ya uongozi wa hii taasisi ni kuwafatilia hawa watu ili tu exchange maarifa.

Tutapokea wanafunzi ( wahitimu) wengi toka nje ya nchi hii itaongeza forefn currency
Tutapata request ya kazi toka nje ya tanzania

KWA DOCTOR KUNA INTERN YA MWAKA MMOJA, (japo kuwa wanajifunza kwa vitendo shuleni) LAKINI VIPI KWA SOFTWARE ENGINEER, VIPI KWA MWANASHERIA, VIPI KWA MWALIMU.
 
Upvote 2
Back
Top Bottom