Inawezekana akawa anaugonjwa wa psychologia?

Inawezekana akawa anaugonjwa wa psychologia?

gbrother

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
408
Reaction score
51
Ni mdada ambaye ana boyfriend wake, lakini anauza hivi anakasolo gani kama mtoto wa kike, maana hajawaiwa kutongozwa na mwanaume mwingine zaidi ya huyu bf wake.
 
hana kasoro yoyote ile.si ana boyfriend,sasa atongozwe ili iweje na wakati tayari ana mtu?kama angekuwa single kama hatongozwi,ingebidi atongoze yeye.siku hizi hata wanawake wanatongoza.mambo ya kusubiri kutongozwa hakuna tena,kama huwezi kumwaga sera,unatongoza kwa ishara tu
 
Hapo sasa, hau kutongozwa yeye anaona fashion?
 
Back
Top Bottom