Inawezekana ama ndo naliwa najiona!?

Inawezekana ama ndo naliwa najiona!?

mdogo wangu ukiona manyoya ujue.................................!!!utamalizia mwenyewe
 
Hapo umeshika pembe wenzako wanakamua maziwa na kuyanywa........!!!
 
Pole Mkuu, haiingii akilini jaribu kusonga mbele na kuangalia ustaarabu mwingine.
 
Ni aje weye? Sepa haraka sana
 
jamaa anajaribu kurudisha majeshi, apate ile nafasi japo ya kuwa "friends with benefits" japo wamemwagana lakini awe anapata nafasi ya "kusafisha bunduki yake"
 
Ukimegewa demu wako na wewe tafuta mnyonge ummegee (MwanaFA)..
Kiukweli huna mpenzi hapo..Yaan anatoka na x wewe upo?
Zinduka aiseee...

Hapo ni mwendo wa kugawana UKIMWI tu.
 
onyo!hata ukitaka kuoa usioe mwanamke au usiolewe na mwanaume ambae kwa namna moja au nyingine alikuwa bado yuko kwenye mahusiano ya dhati au ya kusuasua na mpenzi wake.pili achana kabisa naye anakukula kisogo huyo.kama unabisha jiandae kuja mada itakayosema wanajamii nimegundua nilikuwa naibiwa na nimekoma.seppaaaaaaaaaaaaaa fasta.wanakumbushiana hao.
 
Na we usitufanye wote watoto hapa,yule bikra ndo huyo mwenye boy wake au?si wewe ndo uliuliza hapa bikra ikitoka kama ni lazima itoke na damu!au?sasa leo vipi tena?

Ahahahahah...Kh! maraia Banah!
Aliyeitoa Kwa Damu Ndo Huyo Yuko Kimya Na Anatoka Nae Out Mpaka Siku Ya Idd!
 
haya kusoma hujui hata kupapasa huwezi........
 
Back
Top Bottom