Inawezekana Bachelor of pharmacy kwa mchakato huu?

Cut off point haisaidii andika point za masomo yako kama ni A B C D but kama GPA inaruhusu ni ruksa kusoma kozi hiyo.
Pharmacy
 
Cut off point haisaidii andika point za masomo yako kama ni A B C D but kama GPA inaruhusu ni ruksa kusoma kozi hiyo.
Pharmacy

EDD ya PCB respectively mwaka 2013
 
EDD ya PCB respectively mwaka 2013

👀Sasa kwa matokeo hayo,ilikuwaje ukaenda Diploma ya Clinicl??😮
Kwani hukuomba TCU?? Mbona matokeo mazr hivo!!!

By ze way yameshapita,now ganga yajayo,

Hiyo ishu unayo uliza inawezekana kabisa,tena utapebwa na vitu vingi sana,yan hapo utabebwa na GPA ya chuo,also matokeo ya six.

All the best mkuu.
 
Thx bro
 
EDD ya PCB respectively mwaka 2013

Kama hizi ndo alama ulizopata kwa mfumo wa brn tcu wanatambua kama FEE...Means 2pts instead of 5pts otherwise itakuwa 5pts kama ulipata CCD.
 
Kama hizi ndo alama ulizopata kwa mfumo wa brn tcu wanatambua kama FEE...Means 2pts instead of 5pts otherwise itakuwa 5pts kama ulipata CCD.

Mimi cyo BRN coz nimemaliza 2013 BRN imeanz 2014
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…