MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 21,387 Reaction score 44,030 Jun 25, 2025 #1 Hii video inaashiria wapiga kura wa Buchosa hawana mambo mengi. Kila la heri Komredi Erick Shigongo Your browser is not able to display this video.
Hii video inaashiria wapiga kura wa Buchosa hawana mambo mengi. Kila la heri Komredi Erick Shigongo Your browser is not able to display this video.
T The lariat JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,351 Reaction score 1,928 Jun 25, 2025 #2 Hao hao wabunge ndio wanapiga vita bangi. Tshet moja na kumpa mtu uwezo wa milioni 18 kwa mwezi, Kama SI bangi ni niniii.
Hao hao wabunge ndio wanapiga vita bangi. Tshet moja na kumpa mtu uwezo wa milioni 18 kwa mwezi, Kama SI bangi ni niniii.
Yoav Gallant JF-Expert Member Joined May 23, 2023 Posts 2,976 Reaction score 6,398 Jun 25, 2025 #3 Nilipoona hiyo video niliwaza hao wapiga kura wanahitaji maombi
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Jun 25, 2025 #4 Wabunge wote Tanzania hii waliopo waliteuliwa na Rais aliyekuwepo. Hakuna Jimbo lililokuwa Gumu, kila aliyepitishwa na Rais alikuwa mbunge. Wote walikuwa viti maalum, hakuna aliyepigiwa kura au aliyechaguliwa.
Wabunge wote Tanzania hii waliopo waliteuliwa na Rais aliyekuwepo. Hakuna Jimbo lililokuwa Gumu, kila aliyepitishwa na Rais alikuwa mbunge. Wote walikuwa viti maalum, hakuna aliyepigiwa kura au aliyechaguliwa.