Inawezekana Buchosa ndo jimbo rahisi zaidi mtu kushinda ubunge

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Hii video inaashiria wapiga kura wa Buchosa hawana mambo mengi. Kila la heri Komredi Erick Shigongo
Your browser is not able to display this video.
 
Hao hao wabunge ndio wanapiga vita bangi.
Tshet moja na kumpa mtu uwezo wa milioni 18 kwa mwezi, Kama SI bangi ni niniii.
 
Wabunge wote Tanzania hii waliopo waliteuliwa na Rais aliyekuwepo.

Hakuna Jimbo lililokuwa Gumu, kila aliyepitishwa na Rais alikuwa mbunge.

Wote walikuwa viti maalum, hakuna aliyepigiwa kura au aliyechaguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…