Pre GE2025 Inawezekana chaguzi zetu kuingiliwa na mataifa jirani? Tupo salama?

Pre GE2025 Inawezekana chaguzi zetu kuingiliwa na mataifa jirani? Tupo salama?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamichakato

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2015
Posts
1,188
Reaction score
1,090
Kumekuwepo na taarifa ulimwenguni zinazohusisha nchi moja kuingilia uchaguzi wa nchi nyingine na ku infuence matokeo au uungwaji mkono wa vyama au wagombea..

Hili limekuwa likitokea kwenye mataifa hasimu kiuchumi, Kisiasa na kijamii mfano Urusi dhidi ya Marekani,China dhidi ya Taiwan, India na Pakistani n.k.

Uingiliaji hufanyika kwa kupandikiza mamluki au kulipa fedha vyombo vya habari/Mitandao/Celebrities kushawishi kwa mujibu wa matarajio ya nchi mwingiliaji..

Je, hapa kwetu upo uwezekano wa chaguzi zetu kuingiliwa? Nchi gani korofi inayoweza kufanya hivi? Nini kifanyike kuzuia?
 
Back
Top Bottom