Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Watekaji ni Kikwete na Rostam AzizRIP pole pole wala sio kuzunguka kama alivyosema nyuma ya pazia kuhusu serikali
Sisi tunaweza kuona nchi ina serikali na raisi ila mfahamu ina watu wachache ambao wanaweza kujionesha wapo na sisi na ni watu wa watu kumbe ndio wakoloni aka masultani,wafalme,mungu watu na n.k.ambao uwezi kuona kashiriki chochote ila ndio mwenye nchi.
CCM walishakubali kuwa mateka ili washike nchi sababu sio nchi ni maisha yao na familia zao.
Hii code hata raisi wenu anaweza kustopishwa kama hatafuata maagizo
Itakuwa kazidiwa dau, ukiona hivyo kuna mtu mweupe katowa mpunga mrefu lazima uambiwe mzee kwa hili kaa pembeni.Rostam kakataliwa kununua kisima cha gas chenye kutoa gas nyingi zaidi Tanzania kilichopo huko visiwa vya Songo songo. Hii maana yake nini? Anarudi kujipanga ili akirudi anunue tuseme mara ya kwanza walimnyima na sasa amefuata taratibu wamemuuzia