Inawezekana hatujui ukweli kuhusu Suma Lee..

Hahahaha huyo chapo wa twittwer mzee wa kuungaunga ubuyu wa mtaani then anapost huko, mweupe sana huyo jamaa sema kakuta Twitter wazee wengi ukiwapa habari wanachukua tu.
 
Drug dealer wote hao.......ila hakunaga ingekua miaka hii ingekula viewers wa kutosha kama muziki ya darasa
 
Alipata zaidi ya milioni 100 Kwa wimbo mmoja Tu hakunaga..akanunua VX milioni 70
Ikaibiwa...

Huwa inanishangaza Sana hii story..
Katika uboraa wako.....[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Na huyu msanii mtanzania aliyemfix Cannibal na majini ni nani, unaonekana unajua mambo mob

 
Suma nahisi hataki kuded kama mwenzie
 
All in all, wimbo wake wa HAKUNAGA hakika aliutendea haki! Kamwe siwezi kuusahau huu wimbo!! Ulitoka mwaka 2011 kama sikosei.
 
Kwahiyo wewe mleta mada unamjua Suma lee kuliko anavyojijua yeye mwenyewe?

Yeye muhusika alisema aliamua kumrudia Mungu coz imani yake haikukubaliana na alichokua anakifanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…