Kwanini muwachukue wachezaji waliotemwa mfano mkude,chama,baleke? n.k yaani wachezaji ambao simba inawaona magarasa hawafai kwanini nyinyi ndio mnawachukua? Kwanini msiwachukue wenye mkataba mfano che malone,camara,zimbwe,ateba,kagoma n.kUna akili ndogo sana kwa hio mchezaji akiondoka Simba hatakiwi kwenda Yanga?
Huyo jamaa ameshawahi kumdhalilisha hadi mama ake humu ndani kisa usimba na uyanga ana laana ya mama ake huyo.We jamaa we akili zako haziko timamu hata kwenye maisha ya kawaida,jinsi akili zako zilivyo unaonyesha hata kwenye maisha ya kawaida huna akili wala maendeleo
Chama mlimtupa au alikataa kusaini ili acheze shirikisho yaani mashindano ya akina mama akaamua kuja Yanga acheze CAFCLNa saizi mnamtaka nani mwingine kutoka kwetu?
Sio msubiri tumtupe ndio muanze kumletea shobo kwa madai mlikuwa mnamtaka tangu kitambo.
Akili zangu nikikupa hata tone 1 ufute umbumbumbu wako uliojaa kwenye hilo fuvuWe jamaa we akili zako haziko timamu hata kwenye maisha ya kawaida,jinsi akili zako zilivyo unaonyesha hata kwenye maisha ya kawaida huna akili wala maendeleo
Huna akili kweli mtani kwa mashudu unayotetea hapa hata chizi anakushinda...uzuzu ni mwingi...Magoma apewe heshima ya kuwaita mazuzu...Akili zangu nikikupa hata tone 1 ufute umbumbumbu wako uliojaa kwenye hilo fuvu
Kwani mchezaji akicheza Simba hapaswi kucheza YangaHuna akili kweli mtani kwa mashudu unayotetea hapa hata chizi anakushinda...uzuzu ni mwingi...Magoma apewe heshima ya kuwaita mazuzu...
Kwani mchezaji akicheza Simba hapaswi kucheza Yanga
Mimi na wewe ndo hatuhami timu ni Wanachama ila wachezaji ni wafanyakazi tu
Simba washawasajili akina
Niyonzima
Ngasa
Dida
Ivo Mapunda
Gadiel Michael
Ajibu
Kaseja
Okwi
Na Bado upo siku wachezaji wa Yanga watasajiliwa na Simba
Me nachokataa ni kuonakana kuwa mchezaji aliyetoka Simba kuja Yanga basi eti alikuwa ametemwa
Nimekuambia nani mwingine ambaye mnamtamani kutoka kwetu??Chama mlimtupa au alikataa kusaini ili acheze shirikisho yaani mashindano ya akina mama akaamua kuja Yanga acheze CAFCL
Baleke mlimtaka akakataa akaenda Zake Libya baadae akapiga u- turn akaja Yanga
Mwenda aliwatoroka hadi mkashitaki mkalipwa kidogo akaamua kuja kucheza CAFCL
Na wewe Kwa umbumbumbu wako hilo unaliaminiNimekuambia nani mwingine ambaye mnamtamani kutoka kwetu??
Mkiwa kwenye vijiwe vyenu mnadanganyana hakuna mchezaji kutoka Simba atayepata namba kwenye kikosi chenu.
Lakini viongozi wenu ndio wanajua value ya wachezaji ambao nyie mnawaona si lolote
Ili tuone vijiwe vinaongopa, tutajie mchezaji aliyetoka Simba aliyekuwa na uhakika wa namba katika kikosi cha YangaNimekuambia nani mwingine ambaye mnamtamani kutoka kwetu??
Mkiwa kwenye vijiwe vyenu mnadanganyana hakuna mchezaji kutoka Simba atayepata namba kwenye kikosi chenu.
Lakini viongozi wenu ndio wanajua value ya wachezaji ambao nyie mnawaona si lolote
Vijiwe haviongopi, ila ni kwamba viongozi wa Yanga hawatambui na wanayapuuzia mambo yote yanayojadiliwa vijiweni na wapenzi wa timu yaoIli tuone vijiwe vinaongopa, tutajie mchezaji aliyetoka Simba aliyekuwa na uhakika wa namba katika kikosi cha Yanga
Aondoke Kwa Heshima Ili aje amrithi Karia.Anachokifanya hivi sasa ni kama amefikia ukomo wa uwezo wake, au anajiandaa kuondoka lakini anataka aiache timu katika mazingira ambayo inapelekea akumbukwe.
Amefanya mambo makuwa sana ndani ya Yanga na kujijengea heshima. Lakini Kwa ninachokiona hivi sasa, ni dhahiri kuna mgogoro ndani ya Yanga kati yake na mdhamini wa Club.
Najaribu kuelewa, lakini haiingii akilini kwa Club kama Yanga kuwekeza katika kuokota wachezaji walioachwa na Simba, (hapa tusiwahusishe Chama na Mkude). Haijawahi kutokea hii, nina uhakika kwa mwendo huu, first eleven ya Yanga msimu ujao itaundwa na wachezaji kutoka Simba.
Kabla ya kila wakati kuja public na kututaa wanachama tuwe watulivu, mimi ninashauri viongozi ndiyo muwe watulivu ili mfanye mambo kwa utulivu na waledi, kwa sasa hampo sawa kabisa.
Kwani ni mzaliwa wa Dom? Aah kkumbe haijalishiMbunge wa dodoma 2025.
Juzi ilikuwa birthday ya GSM walienda dodoma kuna sehemu walijenga msikiti na kutoa hela za kutosha jangwani wajiandae na kilio mda wowote.Kwani ni mzaliwa wa Dom? Aah kkumbe haijalishi
Akiwa hafai kwenu ndio hafai kote?Kwanini muwachukue wachezaji waliotemwa mfano mkude,chama,baleke? n.k yaani wachezaji ambao simba inawaona magarasa hawafai kwanini nyinyi ndio mnawachukua? Kwanini msiwachukue wenye mkataba mfano che malone,camara,zimbwe,ateba,kagoma n.k