Inawezekana Hersi anajiandaa kuondoka Yanga

Una akili ndogo sana kwa hio mchezaji akiondoka Simba hatakiwi kwenda Yanga?
Kwanini muwachukue wachezaji waliotemwa mfano mkude,chama,baleke? n.k yaani wachezaji ambao simba inawaona magarasa hawafai kwanini nyinyi ndio mnawachukua? Kwanini msiwachukue wenye mkataba mfano che malone,camara,zimbwe,ateba,kagoma n.k
 
We jamaa we akili zako haziko timamu hata kwenye maisha ya kawaida,jinsi akili zako zilivyo unaonyesha hata kwenye maisha ya kawaida huna akili wala maendeleo
Huyo jamaa ameshawahi kumdhalilisha hadi mama ake humu ndani kisa usimba na uyanga ana laana ya mama ake huyo.
 
Na saizi mnamtaka nani mwingine kutoka kwetu?

Sio msubiri tumtupe ndio muanze kumletea shobo kwa madai mlikuwa mnamtaka tangu kitambo.
Chama mlimtupa au alikataa kusaini ili acheze shirikisho yaani mashindano ya akina mama akaamua kuja Yanga acheze CAFCL
Baleke mlimtaka akakataa akaenda Zake Libya baadae akapiga u- turn akaja Yanga
Mwenda aliwatoroka hadi mkashitaki mkalipwa kidogo akaamua kuja kucheza CAFCL
 
We jamaa we akili zako haziko timamu hata kwenye maisha ya kawaida,jinsi akili zako zilivyo unaonyesha hata kwenye maisha ya kawaida huna akili wala maendeleo
Akili zangu nikikupa hata tone 1 ufute umbumbumbu wako uliojaa kwenye hilo fuvu
 
Huna akili kweli mtani kwa mashudu unayotetea hapa hata chizi anakushinda...uzuzu ni mwingi...Magoma apewe heshima ya kuwaita mazuzu...
 
Kwani mchezaji akicheza Simba hapaswi kucheza Yanga
Mimi na wewe ndo hatuhami timu ni Wanachama ila wachezaji ni wafanyakazi tu
Simba washawasajili akina
Niyonzima
Ngasa
Dida
Ivo Mapunda
Gadiel Michael
Ajibu
Kaseja
Okwi
Na Bado upo siku wachezaji wa Yanga watasajiliwa na Simba
Me nachokataa ni kuonakana kuwa mchezaji aliyetoka Simba kuja Yanga basi eti alikuwa ametemwa
 
Kwani mchezaji akicheza Simba hapaswi kucheza Yanga
Mimi na wewe ndo hatuhami timu ni Wanachama ila wachezaji ni wafanyakazi tu
Simba washawasajili akina
Niyonzima
Ngasa
Dida
Ivo Mapunda
Gadiel Michael
Ajibu
Kaseja
Okwi
Na Bado upo siku wachezaji wa Yanga watasajiliwa na Simba
Me nachokataa ni kuonakana kuwa mchezaji aliyetoka Simba kuja Yanga basi eti alikuwa ametemwa
 
Chama mlimtupa au alikataa kusaini ili acheze shirikisho yaani mashindano ya akina mama akaamua kuja Yanga acheze CAFCL
Baleke mlimtaka akakataa akaenda Zake Libya baadae akapiga u- turn akaja Yanga
Mwenda aliwatoroka hadi mkashitaki mkalipwa kidogo akaamua kuja kucheza CAFCL
Nimekuambia nani mwingine ambaye mnamtamani kutoka kwetu??

Mkiwa kwenye vijiwe vyenu mnadanganyana hakuna mchezaji kutoka Simba atayepata namba kwenye kikosi chenu.

Lakini viongozi wenu ndio wanajua value ya wachezaji ambao nyie mnawaona si lolote
 
Na wewe Kwa umbumbumbu wako hilo unaliamini
Simba na Yanga ni watani
Kwaiyo laZima tuwapopoe na msikasirike
 
Nimekuambia nani mwingine ambaye mnamtamani kutoka kwetu??

Mkiwa kwenye vijiwe vyenu mnadanganyana hakuna mchezaji kutoka Simba atayepata namba kwenye kikosi chenu.

Lakini viongozi wenu ndio wanajua value ya wachezaji ambao nyie mnawaona si lolote
Ili tuone vijiwe vinaongopa, tutajie mchezaji aliyetoka Simba aliyekuwa na uhakika wa namba katika kikosi cha Yanga
 
Vijiwe haviongopi, ila ni kwamba viongozi wa Yanga hawatambui na wanayapuuzia mambo yote yanayojadiliwa vijiweni na wapenzi wa timu yao
 
Anachokifanya hivi sasa ni kama amefikia ukomo wa uwezo wake, au anajiandaa kuondoka lakini anataka aiache timu katika mazingira ambayo inapelekea akumbukwe.

Amefanya mambo makuwa sana ndani ya Yanga na kujijengea heshima. Lakini Kwa ninachokiona hivi sasa, ni dhahiri kuna mgogoro ndani ya Yanga kati yake na mdhamini wa Club.

Najaribu kuelewa, lakini haiingii akilini kwa Club kama Yanga kuwekeza katika kuokota wachezaji walioachwa na Simba, (hapa tusiwahusishe Chama na Mkude). Haijawahi kutokea hii, nina uhakika kwa mwendo huu, first eleven ya Yanga msimu ujao itaundwa na wachezaji kutoka Simba.

Kabla ya kila wakati kuja public na kututaa wanachama tuwe watulivu, mimi ninashauri viongozi ndiyo muwe watulivu ili mfanye mambo kwa utulivu na waledi, kwa sasa hampo sawa kabisa.
Aondoke Kwa Heshima Ili aje amrithi Karia.
 
Kwani ni mzaliwa wa Dom? Aah kkumbe haijalishi
Juzi ilikuwa birthday ya GSM walienda dodoma kuna sehemu walijenga msikiti na kutoa hela za kutosha jangwani wajiandae na kilio mda wowote.
 
Kwanini muwachukue wachezaji waliotemwa mfano mkude,chama,baleke? n.k yaani wachezaji ambao simba inawaona magarasa hawafai kwanini nyinyi ndio mnawachukua? Kwanini msiwachukue wenye mkataba mfano che malone,camara,zimbwe,ateba,kagoma n.k
Akiwa hafai kwenu ndio hafai kote?
 
Back
Top Bottom