Inawezekana hofu ya Serikali kupunguza kodi ya uingizaji wa magari inatokana na hofu ya ukosefu barabara za kutosha kwa jiji la Dar-es-Salaam

Anyway, kwanza usafiri binafsi ni gharama na ni mzigo.

Muhimu serikali iboreshe usafiri wa umma.

Hata nchi zilizoendelea usafiri wa umma unaboreshwa ili watu wautumie kurpusha mifoleni isiyokuwa na sababu.

Unakuta msululu wa FOLENI ya magari 100 halafu yote ukichungulia ndani yana mtu MMOJA MMOJA tu. Upuuzi tu.

Nchi zetu masikini tunachukulia kuwa na gari ndio mafanikio kitu ambacho ni mindset ya kijinga tu.
 
Lengo la kuweka kodi kubwa kwenye magari ( used ) ni kupunguza import kubwa ya magari used nchini. Ndio maana magari mapya kodi zake ni nafuu kuliko used.

Vinginevyo nchi itageuka jalala.
Used ya ulaya kwa bongo ni mpya kabisa.
 
Sio tu ununuzi wa mafuta utaongezeka, bai hata ununuzi wa vipuri vya magari utaongezeka sambamba na watu kuuziana magari humu nchini ili wenye fedha zao waagize magari ya kisasa zaidi(watauza na kununua) na hapo serikali itapata mapato zaidi.

Na scrapers (chuma chakavu pia itaongezeka) kwa watu kuchinja yaliyochoka na kugeuzwa kuwa bidhaa nyingine kv. nondo, safuria nk nk..
 
Sasa huu ndio mtazamo wa serikali yetu, inayotokana na maoni ya wataalamu wa serikali yetu ambao fikra zao ni kama zako. Hiyo kauli ya mwisho ya kuchukulia gari kuwa mafanikio ingawa umeisema kwa mtazamo wa raia (wananchi) inakata vilevile kwa serikali, kuona gari kama ni mafanikio sana kiasi cha kuweka kodi kubwa kumtoza mwananchi kwa gari analoagiza, BADILIKENI, mnatucheleweshea maendeleo kwa kutokusanya kodi ambayo ingeletwa na uagizaji wa magari
 
Kuna sababu nyingi zinazowafanya serekali wasipunguze important duty (40%) kwa magari plus vat 18%.
1. hatuna njia ya kuyatoa hayo magari yakichakaa, yani dumping strategy yetu ni ipi. Wenzetu wanadumpia Afrika sisi tunadump wapi.
2. Magari mabovu na used chakaa yatajaa tanzania na hilo lina madhara mengi kimazingira nk.
3. Foleni itakuwa kubwa sana kwani magari yatakithiri. Ni heri kuiomba serekali kuondoa import duty na VAT na kuweka 0% kwa magari mapya na huo ndo utaratibu ulokuwepo kwa authorized dealer wa magari na sio kwa mtu mmoja mmoja. Hii itafanya watu wanunue magari mapya ambayo ni mazuri kwa afya ya nchi yetu.

Serekali za wenzetu wanashajihisha watu kununua electric cars sasahiv na wana incentive nyingi.

Mawazo yako ni ya kimasikini na kinyonge. Badili mtazamo ndogo mana kodi ya magari used tena ikipungua italeta maafa makubwa nchini.

Ni heri upiganie kodi ya necessities kama nguo, chakula na raw material muhimu kwa uzalishaji.
 
Lengo la kuweka kodi kubwa kwenye magari (used) ni kupunguza import kubwa ya magari used nchini. Ndio maana magari mapya kodi zake ni nafuu kuliko used.

Vinginevyo nchi itageuka jalala.
Una uhakika gari jipya kodi yake ni nafuu kuliko lililotumika?
 
Ila mwaka huu,miezi michache iliopita kodi ya magari imeshuka kwa mujibu wa kikokotoo cha TRA. Mama amesikia kilio chenu.
 
Lengo la kuweka kodi kubwa kwenye magari (used) ni kupunguza import kubwa ya magari used nchini. Ndio maana magari mapya kodi zake ni nafuu kuliko used.

Vinginevyo nchi itageuka jalala.
Umefeli bongo gari la 2017 kodi yake kubwa kuliko la 2005 ndio mana unaona harrier ya 2007 na subaru za 2007 zinaitwa new model wakati zipo harrier za 2019 watu hawaziwez sababu ya kodi....
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Mama kashusha sana kodi ya magari used. Kuna gari za 2013/14 ushuru ulikuwa 18m sasa hivi ni 8m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…